Ok sawa chief ila sio kosa kuwatag watu kama unahisi amekosea hiyo ni opinion yako ye kwake iko sawa na ndio maana kafanya hivoNa wew pia mshamba wa mada,hili ni jukwaa la maoni,siyo FB uanze kutag marafiki zako ulosoma nao primary.
Cha msingi n kuongoza tuu 😂Kwa uandishi huo na akili hiyo,bila shaka huko alipopewa kazi ya kuwasimamia wazee ni kampuni ya kuuza Ubuyu wa rangi.
Acha kuniita brother,sina undugu na nyie mapapai wenye kimbelembele na kushobokea wanaume.As long as mtu kareply comment yangu nitareply back brother
Brother punguza hasira hakuna aliekulazimisha kuwa na roho ya kike. Kikubwa muombe Mungu hiyo roho ya wivu ikutoke.Wewe choko mbona unawashwa hivyo? Wewe ni mleta mada? Hebu nenda kwa mumeo acha kujibishana na wanaume hapa,nyie mapunga hua mna kimbele mbele sana.
Wanasema kwenye nchi ya vipofu basi mwenye jicho moja hua mfalme.Cha msingi n kuongoza tuu 😂
Sawa brother sikuiti Tena hivo ila ujumbe umekufikia PUNGUZA WIVU kwa wanaume wenzio hii ni JF tuu ingekuwa maisha ya ukweli mtaani tungeshakuwamba makofiAcha kuniita brother,sina undugu na nyie mapapai wenye kimbelembele na kushobokea wanaume.
Yeahh.Yeah binadamu wabaya sana.
Bwana mdogo anatakiwa akaze haswa.Washaanza kudoji kuja kazini😄😄😄
Dogo kama anapigo za kisabato ofisi itamshinda kuirun.
📌Hapo inabidi akae kwenye mstari yeye mwenyewe ili akitoa maelekezo ni one way order!!!
Wewe choko nimekukataza kuniita brother,mbona unatumia nguvu kubwa sana kujipendekeza kwangu?Brother punguza hasira hakuna aliekulazimisha kuwa na roho ya kike. Kikubwa muombe Mungu hiyo roho ya wivu ikutoke.
Ngoja nikuache maana unaelekea kulia bob ila Sheria ni ileile wacha wivu kwa wanaume wenzioWewe choko nimekukataza kuniita brother,mbona unatumia nguvu kubwa sana kujipendekeza kwangu?
Kwanini huu uzi unakuwasha wewe tu? Kwanini usimuachie mleta mada ajibu mwenyewe? Unamrukia kila mtu kwenye huu uzi kama vile wamekupakaa Viksi.
Unakuta watu wanakisomo kidogo wanaishi kwa kupiga michongo mishahara yao ni midogo wanamadeni kila mahali.Washajikatia tamaa na kujiendeleza kielimu.Nafasi zote za uongozi wanapewa new blood.Yeahh.
ZIma ugumu wake.
Jamaa angu mmoja kipindi flan, aliniita akaniambia "mwanangu, nimeanzisha taasisi, ila kwasasa imekua sana nashindwa namna ya kuiongoza, nimeanza kuajiri wakenya ma waganda na wabongo wamejaa, staff zaidi ya 45. Njoo nisaidie"
Hapo ni miezi kadhaa tu imepita, niko zangu shamba tu, nafuga nguruwe, baada ya mikiki mikiki ya maisha na kuamua kukaa mbali na watu.
Nina mwezi wa 3 sasa, jamaa anapumua angalau. Mambo yamenyooka hivi, hayo yote uliosema nimekutana nayo.
Uzuri hiki anachosema La Quica mimi nimeanza nacho miaka kama 15 iliopita ndio kwaaanza natoka shule. So najua vyema sana anachosema
Unaona jinsi ulivyo mpumbavu? Hivi nyie machoko hua mnawashwa muda wote sio? Nenda kwa mumeo acha kushobokea wanaume wa JF.Ngoja nikuache maana unaelekea kulia bob ila Sheria ni ileile wacha wivu kwa wanaume wenzio
Msamehe Bure Mleta Mada Aneshakunywa Kangara Ya Mia TanoHao ulio watag ndio wenye majibu sahihi kwako?
Wengine unahisi hawawezi kukusaidia?
Wivu kwa mwanaume so kwelii we tukana unavoweza ila wivu kwa mwanaume ni mzigoUnaona jinsi ulivyo mpumbavu? Hivi nyie machoko hua mnawashwa muda wote sio? Nenda kwa mumeo acha kushobokea wanaume wa JF.
Wewe choko ingekua live usingeweza hata kunisogelea,muda huu sijui hata ungekua una hali gani,Sawa brother sikuiti Tena hivo ila ujumbe umekufikia PUNGUZA WIVU kwa wanaume wenzio hii ni JF tuu ingekuwa maisha ya ukweli mtaani tungeshakuwamba makofi
Afisa UtumishiTumuachie uzi wake ajibiwe na watu wake 😂
Mwanaume gani wewe makalio? Toa harufu ya haja kubwa hapa Bwabwa wewe.Wivu kwa mwanaume so kwelii we tukana unavoweza ila wivu kwa mwanaume ni mzigo
Exactly manUnakuta watu wanakisomo kidogo wanaishi kwa kupiga michongo mishahara yao ni midogo wanamadeni kila mahali.Washajikatia tamaa na kujiendeleza kielimu.Nafasi zote za uongozi wanapewa new blood.
😄😄😄ukipewa kiti ofisi kama hiyo kuiongoza na kazi ziende.Ndio utawajua binadamu ni wabaya shetani anasingiziwa🙏
👍👍👍Exactly man. Exactly. Nimekuja kugundua kwa asilimia kubwa uongozi ni talent na japo viongozi huandaliwa, wengi hukutana na majukum ya uongozi kabla ya kuandaliwa.
Pia nimekuja kufaham, mtu aliyepitia vurugu nyingi za kupambana na maosha magumu mpaka kuja kukaa sawa, they can be very good leaders kwakua maisha hutoa funzo moja zuri sana kuwa ukicheka cheka na mtu, maisha hayatakua na huruma na wewe na pia yeyote katika circle yako anaweza geuka kuwa yeyote muda wowote kwahiyo ni muhimu sana kuzingatia baadhi ya mambo jinsi yanatakiwa kwenda