Nafikiri hizi picha zimekuwa doctored mafano ile ya kwanza
hakuna consistency kati ya shingo na uso. Shingo inanekana
kama imezeeka kuliko uso. Kawaida mtu akizeeka ngozi
ya shingo pamoja na ile ya uso huanza kudondoka.
Hata kama tunampinga JK hii sasa ni too much (personal attack)
ambaya siyo sahihi. Tupinge hoja na uwajibikaji wake sio
vitu personal kama hivi kwasababu mwisho wa siku haileti tija.