Kuongoza nchi si mchez0. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kuongoza nchi si mchez0.

Discussion in 'Jamii Photos' started by Indume Yene, Mar 20, 2011.

 1. Indume Yene

  Indume Yene JF-Expert Member

  #1
  Mar 20, 2011
  Joined: Mar 17, 2008
  Messages: 2,932
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  Jamani ndugu wana jamvi wenzangu,
  Nimekumbana na hizi pics nikaona ni vyema tuka-share pamoja.
  Kutokanana na hizi picha ninaweza kusema KUONGOZA NCHI si lele mama. Mwangalie vizuri JK kwenye shingo yake.........angalia pia picha ya 2 usoni......mmmmmmmhhh.


  [​IMG]

  [​IMG]
   
 2. Chamoto

  Chamoto JF-Expert Member

  #2
  Mar 20, 2011
  Joined: Dec 7, 2007
  Messages: 2,086
  Likes Received: 1,125
  Trophy Points: 280
  Nafikiri hizi picha zimekuwa doctored mafano ile ya kwanza
  hakuna consistency kati ya shingo na uso. Shingo inanekana
  kama imezeeka kuliko uso. Kawaida mtu akizeeka ngozi
  ya shingo pamoja na ile ya uso huanza kudondoka.

  Hata kama tunampinga JK hii sasa ni too much (personal attack)
  ambaya siyo sahihi. Tupinge hoja na uwajibikaji wake sio
  vitu personal kama hivi kwasababu mwisho wa siku haileti tija.
   
 3. Gama

  Gama JF-Expert Member

  #3
  Mar 20, 2011
  Joined: Jan 9, 2010
  Messages: 9,227
  Likes Received: 1,414
  Trophy Points: 280
  CRAP, CRAP, CRAP, acha ushabiki, hizi ni picha halisi za JK, the best you would do ni ku-apreciate kuwa there are moments he looks serious on issues na si kudhani kuwa ni "personal" attack. Au wewe ndo JK mwenyewe?!, unapenda usifiwe kuwa ni kijana!.

   
 4. Chamoto

  Chamoto JF-Expert Member

  #4
  Mar 20, 2011
  Joined: Dec 7, 2007
  Messages: 2,086
  Likes Received: 1,125
  Trophy Points: 280
  LOL siyo kiivyo ndugu mimi niliona kama iko doctored lakini kama
  ni real basi OP anisamehe kwasababu kweli nitakuwa nimemkosea.
  Hata hivyo mimi siyo CCM na wala sifurahishwi na jinsi JK anavyo
  iongoza nchi.

  God bless you.
   
 5. Gama

  Gama JF-Expert Member

  #5
  Mar 20, 2011
  Joined: Jan 9, 2010
  Messages: 9,227
  Likes Received: 1,414
  Trophy Points: 280
  Neither am I "CCM", but that is the true picture of JK.
   
 6. queenkami

  queenkami JF-Expert Member

  #6
  Mar 20, 2011
  Joined: Feb 8, 2010
  Messages: 1,340
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  zinazokua photoshoped ni zile za kampeni hizi ni real
   
 7. AirTanzania

  AirTanzania JF-Expert Member

  #7
  Mar 20, 2011
  Joined: Mar 17, 2011
  Messages: 1,127
  Likes Received: 678
  Trophy Points: 280
  Kumbe kuna sababu ya anapodondoka
   
 8. m

  mpeku New Member

  #8
  Mar 20, 2011
  Joined: Feb 16, 2011
  Messages: 4
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Duuh kweli kaisha ama kweli kuongoza wa2 mil.40 sio mchezo......
   
 9. Dumelambegu

  Dumelambegu JF-Expert Member

  #9
  Mar 20, 2011
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 1,052
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  Aliyataka mwenyewe! Ngoja akome na kukomaa mpaka ngozi idondoke chini kabisa.
   
 10. L

  Leornado JF-Expert Member

  #10
  Mar 20, 2011
  Joined: Nov 12, 2010
  Messages: 1,534
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  Ana bahati mvi hazijamjaa, angetisha zaidi ya hapo.

  Even Obama kazeeka sana baada ya kuwa raisi wa U.S.A

  Sababu hasa ni nini ? mawazo au kuogopa kupinduliwa ghafla?
   
 11. n

  nguluvisonzo JF-Expert Member

  #11
  Mar 20, 2011
  Joined: Dec 27, 2010
  Messages: 511
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Hakuna kitu ndivyo alivyo kwa sasa miaka haigandi na ongeza speed ya cdm na ndani ya ccm kwenyewe lazima azeeke haraka haraka kila sehemu.
   
 12. Emanuel Makofia

  Emanuel Makofia JF-Expert Member

  #12
  Mar 20, 2011
  Joined: Jan 5, 2010
  Messages: 3,843
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  ndo afya yake!
   
 13. pmwasyoke

  pmwasyoke JF-Expert Member

  #13
  Mar 20, 2011
  Joined: May 27, 2010
  Messages: 3,584
  Likes Received: 189
  Trophy Points: 160
  Wajue wote wanaotaka kukimbilia Ikuku kwamba kule hakuna lelemama
   
 14. Venant Ben

  Venant Ben Senior Member

  #14
  Mar 20, 2011
  Joined: Nov 29, 2010
  Messages: 155
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  duuh!!!!!!!!!!Kumbe zile picha za kwenye kampen alikuwa anakandikwa ma powda????but mbona Mkapa hakuchakaa kiac hiki?na bado,mpaka 2015 cjui utakuwaje!
   
 15. Indume Yene

  Indume Yene JF-Expert Member

  #15
  Mar 20, 2011
  Joined: Mar 17, 2008
  Messages: 2,932
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  Siamini suala la kupinduliwa linaweza kumzeesha kiasi hiki. Tanzania kuna matatizo kibao na mengi yanategemea mwongozo wake. Kuna matatizo mengine ambayo yanamgusa yeye mwenyewe moja kwa moja kwa njia moja au nyingine kama DOWANS, Bulyankulu, Meremeta, Kagoda, Deep Green, EPA, Ombwe na uongozi kwenye chama na serikali na mengineyo. Huku Chadema nao wanawasha moto kuhusu ugumu wa maisha kwa watanzania huku wachache wakineemeka. Kwa mdundo huo, lazima tu kutakuwa na mabadiliko kwenye mwili and even psychologically.
   
 16. Edson

  Edson JF-Expert Member

  #16
  Mar 20, 2011
  Joined: Mar 7, 2009
  Messages: 9,202
  Likes Received: 722
  Trophy Points: 280
  kisukari kibaya sana lol
   
 17. mmbangifingi

  mmbangifingi JF-Expert Member

  #17
  Mar 21, 2011
  Joined: Mar 9, 2011
  Messages: 2,855
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  hii thread sijaona kama ina tija, ni kweli mh presidaa hapa anaonekana kachoka mbaya! lkn ina haja gani? kikubwa ni kuangalia utendaji wake. au mtoa thread unataka kuhusisha mwonekano/kuchoka kwake ktk picha hizi na utendaji wake wa kila siku?
   
 18. Maria Roza

  Maria Roza JF-Expert Member

  #18
  Mar 21, 2011
  Joined: Apr 1, 2009
  Messages: 6,773
  Likes Received: 103
  Trophy Points: 160
  Maskini amechoooka utadhani omba omba wa mnazi mmoja!!! kumbe hata c h u p i anafuliwa!!!!:juggle::juggle:
   
 19. Gama

  Gama JF-Expert Member

  #19
  Mar 21, 2011
  Joined: Jan 9, 2010
  Messages: 9,227
  Likes Received: 1,414
  Trophy Points: 280
  Kama ni kisukari si awahi kikombe?!, hizi ni siku za rehema ni vema tuzitumie.
   
 20. g

  geophysics JF-Expert Member

  #20
  Mar 21, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 904
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Hata hivyo na umri umekwenda...wote tuna kua huwezi kutegemea mtu atakaa kama alivyozaliwa. Mie naona kawaida tu
   
Loading...