Nafikiri hizi picha zimekuwa doctored mafano ile ya kwanza
hakuna consistency kati ya shingo na uso. Shingo inanekana
kama imezeeka kuliko uso. Kawaida mtu akizeeka ngozi
ya shingo pamoja na ile ya uso huanza kudondoka.
Hata kama tunampinga JK hii sasa ni too much (personal attack)
ambaya siyo sahihi. Tupinge hoja na uwajibikaji wake sio
vitu personal kama hivi kwasababu mwisho wa siku haileti tija.
zote ni real mkuuzinazokua photoshoped ni zile za kampeni hizi ni real
Kama ni kisukari si awahi kikombe?!, hizi ni siku za rehema ni vema tuzitumie.
Nafikiri hizi picha zimekuwa doctored mafano ile ya kwanza
hakuna consistency kati ya shingo na uso. Shingo inanekana
kama imezeeka kuliko uso. Kawaida mtu akizeeka ngozi
ya shingo pamoja na ile ya uso huanza kudondoka.
Hata kama tunampinga JK hii sasa ni too much (personal attack)
ambaya siyo sahihi. Tupinge hoja na uwajibikaji wake sio
vitu personal kama hivi kwasababu mwisho wa siku haileti tija.
maskini amechoooka utadhani omba omba wa mnazi mmoja!!! Kumbe hata c h u p i anafuliwa!!!!:juggle::juggle:
LOL siyo kiivyo ndugu mimi niliona kama iko doctored lakini kama
ni real basi OP anisamehe kwasababu kweli nitakuwa nimemkosea.
Hata hivyo mimi siyo CCM na wala sifurahishwi na jinsi JK anavyo
iongoza nchi.
God bless you.
Ana bahati mvi hazijamjaa, angetisha zaidi ya hapo.
Even Obama kazeeka sana baada ya kuwa raisi wa U.S.A
Sababu hasa ni nini ? mawazo au kuogopa kupinduliwa ghafla?
Ili kujenga hoja yako mlinganishe na Rais Mugabe basi.Rais kijana huyu. me cjaona kama amezeeka sana mbona yupo fresh tuu.