Indume Yene
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 2,968
- 727
Nafikiri hizi picha zimekuwa doctored mafano ile ya kwanza
hakuna consistency kati ya shingo na uso. Shingo inanekana
kama imezeeka kuliko uso. Kawaida mtu akizeeka ngozi
ya shingo pamoja na ile ya uso huanza kudondoka.
Hata kama tunampinga JK hii sasa ni too much (personal attack)
ambaya siyo sahihi. Tupinge hoja na uwajibikaji wake sio
vitu personal kama hivi kwasababu mwisho wa siku haileti tija.
CRAP, CRAP, CRAP, acha ushabiki, hizi ni picha halisi za JK, the best you would do ni ku-apreciate kuwa there are moments he looks serious on issues na si kudhani kuwa ni "personal" attack. Au wewe ndo JK mwenyewe?!, unapenda usifiwe kuwa ni kijana!.
LOL siyo kiivyo ndugu mimi niliona kama iko doctored lakini kama
ni real basi OP anisamehe kwasababu kweli nitakuwa nimemkosea.
Hata hivyo mimi siyo CCM na wala sifurahishwi na jinsi JK anavyo
iongoza nchi.
God bless you.
Jamani ndugu na jamvi wenzangu,
Nimekumbana na hizi pics nikaona ni vyema tuka-share pamoja.
Kutokanana na hizi picha ninaweza kusema KUONGOZA NCHI si lele mama. Mwangalie vizuri JK kwenye shingo yake.........angalia pia picha ya 2 usoni......mmmmmmmhhh.
Nafikiri hizi picha zimekuwa doctored mafano ile ya kwanza
hakuna consistency kati ya shingo na uso. Shingo inanekana
kama imezeeka kuliko uso. Kawaida mtu akizeeka ngozi
ya shingo pamoja na ile ya uso huanza kudondoka.
Hata kama tunampinga JK hii sasa ni too much (personal attack)
ambaya siyo sahihi. Tupinge hoja na uwajibikaji wake sio
vitu personal kama hivi kwasababu mwisho wa siku haileti tija.
Ana bahati mvi hazijamjaa, angetisha zaidi ya hapo.
Even Obama kazeeka sana baada ya kuwa raisi wa U.S.A
Sababu hasa ni nini ? mawazo au kuogopa kupinduliwa ghafla?
kisukari kibaya sana lol