ShesRise_1
JF-Expert Member
- Aug 21, 2025
- 16,992
- 40,146
- Thread starter
- #201
Wewe uliomba nini ukanyimwahamna comment nying naona wanaomba penzi 😀
Wewe uliomba nini ukanyimwahamna comment nying naona wanaomba penzi 😀
KUNA KA SIMU ALINILETEA DADA BINAMU ALIVYOTOKA DASLAM MWAKA JANA KUUZA MAHINDI, SIJUI HATA KANAITWAJWE HALAFU MUDA WOTE KANAZIMIKA ZIMIKA. SIJUI KAMA KATAMALIZA HUU MWAKA BILA KUZIMA KABISAAAAUnatumia itel au?
Kuomba ni sehemu ya ubinadamu na kunyimwa hali kadhalikaUmewahi kuomba jambo fulani ukanyimwa, ilhali unajua kabisa yule mtu alikuwa nalo ila akaamua tu kutokukupa?
(wengine husema akakaza ,akadinda)
Kuomba aibu no uno
Kunyimwa aibu no two
kutangazwa aibu no 3
Kuomba halafu ukanyimwa ni aibu 🤣🤣
Ni kama umejidhalilisha halafu bado husaidiki
Yaani umejianika, umeweka wazi hitaji lako, lakini mwisho wa siku hupewi ng'oo 🤪
Wewe umewahi kuomba nini ukanyimwa? Na ulijisikiaje?
Mara nyingi muombaji akinyimwa hujuta na kutamani asingethubutu kuomba kabisa lakini ni too late 😁
Lakini pia kuna msemo unasema, Ukinyimwa, unajifunza kutafuta vya kwako ( Wahenga🤔)
Lakini sasa najiuliza...
Hivi kweli kila kitu kinaweza kupatikana bila kuomba? 🤪
Au kuna mambo ambayo bila kuomba huwezi kuyapata kamwe? 🤔
Weekend hiyoooo
NB : Kulombana sio anasa
ShesRise_1 🖐
Mimi kuna mtu nilimuomba kikojoleo akaninyima na kabsaa najua anacho. Siku moja kuna dili nilpiga la hela ndefu akajua nimepata hilo dili akaja kuniazima hela akalipe nyumba akakuta ninahesabu mkwanja akaniambia shida yake nikachukua hela zangu nkaweweka mifukoni na mimi nkamwambia sina kama alivyonambia ha kibwenye ndani ya pichu yake.
NINAYO MPYA ILA NAIUZA KWA BEI YA USEDBetri used unayo?
Duhhh 😅KUNA KA SIMU ALINILETEA DADA BINAMU ALIVYOTOKA DASLAM MWAKA JANA KUUZA MAHINDI, SIJUI HATA KANAITWAJWE HALAFU MUDA WOTE KANAZIMIKA ZIMIKA. SIJUI KAMA KATAMALIZA HUU MWAKA BILA KUZIMA KABISAAAA
Kuomba ni sehemu ya ubinadamu na kunyimwa hali kadhalika
Kwakweli ila umeandika kinyonge kama ulinyimwa leo asubuhi😢Kuomba ni sehemu ya ubinadamu na kunyimwa hali kadhalika
Na kukuibia alishindwa nini?Mimi kuna mtu nilimuomba kikojoleo akaninyima na kabsaa najua anacho. Siku moja kuna dili nilpiga la hela ndefu akajua nimepata hilo dili akaja kuniazima hela akalipe nyumba akakuta ninahesabu mkwanja akaniambia shida yake nikachukua hela zangu nkaweweka mifukoni na mimi nkamwambia sina kama alivyonambia ha kibwenye ndani ya pichu yake.
Uchungu mkaliNi kweli ila kunyimwa kitu ambacho unajua mtu anacho in exess inatia simanzi sana 🥲
🔥NINAYO MPYA ILA NAIUZA KWA BEI YA USED
Kijana fedhulii😢Mimi kuna mtu nilimuomba kikojoleo akaninyima na kabsaa najua anacho. Siku moja kuna dili nilpiga la hela ndefu akajua nimepata hilo dili akaja kuniazima hela akalipe nyumba akakuta ninahesabu mkwanja akaniambia shida yake nikachukua hela zangu nkaweweka mifukoni na mimi nkamwambia sina kama alivyonambia ha kibwenye ndani ya pichu yake.
PEER AND FAMILY PRESSURE HUSABABISHA HALI HIYOAisee sijui kwanini wadada wana ji stress kiasi hicho
Tunashare na Maka, wala hatujawahi kuoneana wivu mjukuu😅TBC ukweli na uhakika
Na hata usiogope
Yeye ali mtag kabisa Makaveli
Akasema alimnyima
Tena bibi ndio kanyimwa
Yaan babu baada ya kuona hiyo comment nimejipiga chini kwa uchungu babu🥹🥹
Saivi walau inapunguaPEER AND FAMILY PRESSURE HUSABABISHA HALI HIYO
Kwahiyo najipa umuhimu kwenye penzi lenu 😲hii imeniuma sanaTunashare na Maka, wala hatujawahi kuoneana wivu mjukuu😅
Hapana leo nimekula asubuhi na mchana nikitoka kusali ntakula.Ila kuomba na kunyimwa ni ubinadamu,huwezi kukwepa kuomba na kunyimwa.Mimi nilimuomba waziri mmoja mwanamke akaninyima,sikukata tamaa,nilimuomba tena mpaka siku moja akanipa,na nilimla hatari na alifurahia mno the way nilivyo approach sex na yeye maana ilikuwa inclusive,entertaining and intensive.Mpaka leo namla japo ni mke wa mtu but tunafanya kwa siri kubwa mnoKwakweli ila umeandika kinyonge kama ulinyimwa leo asubuhi😢
INAPUNGUA AU WATU WAMEAMUA KUPAMBANA KIMYA KIMYA ?Saivi walau inapungua
cku hiyo nilikuwa nimepga nyago za kutosha hangefka kuniibia. Mimi ukitaka uniibie ni time mda sijapga chochote hapo utapita nazo kiulaini. Lakn ukute kichwa kina nyago huwez hata kwa dawa.Na kukuibia alishibdwa nini?
Huogopi kuchapa K za wenyewe tena waheshimiwa?Hapana leo nimekula asubuhi na mchana nikitoka kusali ntakula.Ila kuomba na kunyimwa ni ubinadamu,huwezi kukwepa kuomba na kunyimwa.Mimi nilimuomba waziri mmoja mwanamke akaninyima,sikukata tamaa,nilimuomba tena mpaka diku moja akanipa,na nilimla hatari na alifurahia mno the way nilivyo approach sex na yeye maana ilikuwa inclusive,entertaining and intensive.Mpaka leo namla japo ni mke wa mtu but tunafanya kwa siri kubwa mno