ShesRise_1
JF-Expert Member
- Aug 21, 2025
- 16,975
- 40,088
- Thread starter
- #221
Nowadays watu hawajaliINAPUNGUA AU WATU WAMEAMUA KUPAMBANA KIMYA KIMYA ?
Nowadays watu hawajaliINAPUNGUA AU WATU WAMEAMUA KUPAMBANA KIMYA KIMYA ?
Wala, umeonyesha kujali mjukuu!Kwahiyo najipa umuhimu kwenye penzi lenu 😲hii imeniuma sana
i swear hadi alifungiwa nyumba mimi mda huo ndo kabsaa sina bahari nae hadi leo tukikutana ananiambia mimi mbaya nabaki kumwambia nipake rangi niwe mzuri.Safi, Wachoyo ndo dawa yao.
Babu yangu mzuriii😘Wala, umeonyesha kujali mjukuu!
Muhimu ni haya mambo:Huogopi kuchapa K za wenyewe tena waheshimiwa?
Hala hala tusikuokote ununio😢
Ila inaonekana ilikua tamu sana jinsi ilivyoandika
Wewe hujawahi kunyimwa?Dj walete 😁😁naona Uzi mpaka 11🤣
Una roho mbayaa😁i swear hadi alifungiwa nyumba mimi mda huo ndo kabsaa sina bahari nae hadi leo tukikutana ananiambia mimi mbaya nabaki kumwambia nipake rangi niwe mzuri.
Usiniudhi sawa sio usiniuzi.Usiniuzi
Aisee mi siwezi nikikolea nitaanza kuvuka mipaka duhMuhimu ni haya mambo:
1.usiri
2.heshima kwa mwenye mali
3.Kula kwa kuogopa sio kula kama mali yako
4.Hakuna mawasiliano kabisa,isipokuwa kwa code mlizokubaliana,mgano geranimo ekia
TO WHAT EXTENTNowadays watu hawajali
Kijana fedhulii
Hapa sasa unanichokoza😅Babu yangu mzuriii😘
TO WHAT EXTENT
AND
Why are so many people—both youth and elders—committing to casual relationships if being single is supposedly so beneficial?
Hebu tuone ukichokozeka unakuaje babu yangu yankiHapa sasa unanichokoza😅
Una roho mbayaa
Uwe na huruma na babu yako! Nisije kumaliza pension yangu kabla ya wakati😅Hebu tuone ukichokozeka unakuaje babu yangu yanki
Hiyo pension unaimalizia wapi?Uwe na huruma na babu yako! Nisije kumaliza pension yangu kabla ya wakati😅
Hawezi kusema, mie saa hizi nahema kwa shida nimempa mpaka mapafu.Sema kweli Espy_
Asiee unajua kupendaHawezi kusema, mie saa hizi nahema kwa shida nimempa mpaka mapafu.