min -me
JF-Expert Member
- Jul 20, 2022
- 57,626
- 164,913
Oooh sawa mamsiKuna content create wa Instagram ni mtu wa chuga hua anapenda kutumia hilo neno mamsi akimaanisha mwanamke
Bukavu ni ( mkongo)
So unaweza kuta anamuta mwenzie Bigii ile mamsi nimeipakia bukavu