makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 37,430
- 108,442
mie kaniambia ye ni OTIMBI na wewe ndio OTIMBILIYO wakeMbona anasema hakufahamu?
😂🤣
mie kaniambia ye ni OTIMBI na wewe ndio OTIMBILIYO wakeMbona anasema hakufahamu?
Tayari, jiwe gizani, sauti za yalaa nishaanza kuzisikia.Kuwa na adabu we mtoto!! Kibuzi??????????
merry-go-roundUmeniacha wapi? Kwani tulikuwa tunakwenda wapi🤣
Upo wapi babu 😀😀Usisubiri wanitupe, njoo sasa hivi mjukuu. Hata hivyo sijashikwa mkono na mjukuu mda sana😅
Nipo huku, nikiomba nitapewa au nitanyimwa?Upo wapi babu 😀😀
Binti acha mbwembwe basi 🤪huku ni wapi na mbona nimepaona leo
Omba kwanza mengine utajua huko huko muhimu usiibeNipo huku, nikiomba nitapewa au nitanyimwa?
Umeanza mahubiri 🐒fungua moyo wako na uombe vizuri bila kuchoka, anaangalia dhamira ya moyo wako dhidi ya uombacho 🐒
😅😅
Hakuna kuremba wala kupoteza muda, na kwa nini unyimwe...
Si ndio hapo mie kwakweli ukininyima nachukua mwenyeweHakuna kuremba wala kupoteza muda, na kwa nini unyimwe...
Hapo sawa...Si ndio hapo mie kwakweli ukininyima nachukua mwenyewe