Kuomba na kunyimwa?

Kuomba na kunyimwa?

Mtu anaekupenda hakunyimi ukiona umeomba ukanyimwa jua unaemuomba hakupendi temana nae tembea na wanaoukupenda wengine wanakupa bila hata ya kuwaomba wakikuona umepungukiwa hao ndio watu wa kua nao maisha mwako sio wenye viroho vya korosho
Mtu anae kupenda hakunyimi tena anakupa bila kuomba 😘
 
Mimi kuna mtu nilimuomba kikojoleo akaninyima na kabsaa najua anacho. Siku moja kuna dili nilpiga la hela ndefu akajua nimepata hilo dili akaja kuniazima hela akalipe nyumba akakuta ninahesabu mkwanja akaniambia shida yake nikachukua hela zangu nkaweweka mifukoni na mimi nkamwambia sina kama alivyonambia ha kibwenye ndani ya pichu yake.
 
Umekosea sana aloo😅😅
TBC ukweli na uhakika
Na hata usiogope
Yeye ali mtag kabisa Makaveli
Akasema alimnyima
Tena bibi ndio kanyimwa

Yaan babu baada ya kuona hiyo comment nimejipiga chini kwa uchungu babu🥹🥹
 
Back
Top Bottom