Seran
JF-Expert Member
- Feb 7, 2025
- 28,627
- 83,250
Sasa ningeandika vile usingenielewa maana hujui kutumia maneno sanifu ya kiswahili!Usiniudhi sawa sio usiniuzi.
Sasa ningeandika vile usingenielewa maana hujui kutumia maneno sanifu ya kiswahili!Usiniudhi sawa sio usiniuzi.
Leo ni vingereza tu sijui umepatwa na nini rafiki!TO WHAT EXTENT
AND
Why are so many people—both youth and elders—committing to casual relationships if being single is supposedly so beneficial?
MApenzi yaliumbwa kutokana na pumzi yangu mimi, mie nikipumua ni mapenzi tu.Asiee unajua kupenda
That’s just a lame excuse to avoid accountability. When you treat relationships like a buffet instead of a commitment, you're just using people for convenience. Standards exist for a reason.Relationships aren't school uniforms that have to be the same for everyone
Each person has their own viewpoint and their own reasons for choosing what works for them
Ila kweli watoto zaidi ya 10 😁MApenzi yaliumbwa kutokana na pumzi yangu mimi, mie nikipumua ni mapenzi tu.
mpaka kichwa kiume.Leo ni vingereza tu sijui umepatwa na nini rafiki!
Kuchoshana😁Leo ni vingereza tu sijui umepatwa na nini rafiki!
Kila la kheri 💃🏽mpaka kichwa kiume.
PATA PICHA NA HILO GAUNI JEKUNDU, UPO KATIKATI YA HADHIRA UNAJIZUNGUSHA, MARA PAAAAP UPEPO WA GHAFLA UNAPULIZA , GAUNI LOTE LINAPANDA JUU HALAFU INASHUHUDIWA KIPOCHI MANYOYA KIPO KIMEZIBWA NA ILE KITU MITHILI YA MIKANDA YA KANDAMBILI. UTAFANYAJE KATIKA MAZINGIRA HAYO ?Kila la kheri 💃🏽
SAWA THREAD STARTER.Sawa mtaamu wa mapenzi
Mie acha nikae kando
Oooh ok upo sahihiSAWA THREAD STARTER.
BUT WE WERE JUST EXCHANGING VIEWS.
Tuwaulize hiki kizazi kipya na mahusiano yao' wameshaomba na kunyimwa?Umewahi kuomba jambo fulani ukanyimwa, ilhali unajua kabisa yule mtu alikuwa nalo ila akaamua tu kutokukupa?
(wengine husema akakaza ,akadinda)
Kuomba aibu no uno
Kunyimwa aibu no two
kutangazwa aibu no 3
Kuomba halafu ukanyimwa ni aibu 🤣🤣
Ni kama umejidhalilisha halafu bado husaidiki
Yaani umejianika, umeweka wazi hitaji lako, lakini mwisho wa siku hupewi ng'oo 🤪
Wewe umewahi kuomba nini ukanyimwa? Na ulijisikiaje?
Mara nyingi muombaji akinyimwa hujuta na kutamani asingethubutu kuomba kabisa lakini ni too late 😁
Lakini pia kuna msemo unasema, Ukinyimwa, unajifunza kutafuta vya kwako ( Wahenga🤔)
Lakini sasa najiuliza...
Hivi kweli kila kitu kinaweza kupatikana bila kuomba? 🤪
Au kuna mambo ambayo bila kuomba huwezi kuyapata kamwe? 🤔
Weekend hiyoooo
NB : Kulombana sio anasa
ShesRise_1 🖐
Nyie kizazi cha zamani hamkua mnanyimwaTuwaulize hiki kizazi kipya na mahusiano yao' wameshaomba na kunyimwa?
Watu wengi wanawaza mapenzi tu ndio maana wanazaliana hovyo kama panya.Nyie kizazi cha zamani hamkua mnanyimwa
Hata hivyo mada ni mjumuiko sio issue ya mapenzi tu
vingi tuu kipekee sijawahi omba sex napewaga tuu bure nadhani ni misimamo ya kutokubembeleza mtu unaweza sawa huwezi gudubaiiWewe uliomba nini ukanyimwa
Hakika kila mwanamke ni mtamuHuogopi kuchapa K za wenyewe tena waheshimiwa?
Hala hala tusikuokote ununio😢
Ila inaonekana ilikua tamu sana jinsi ilivyoandika
Na bado... natifua, wafike hata 20+ hivi. Nikipumzishe kiuno...Ila kweli watoto zaidi ya 10 😁
Kuzaa jambo lingine kusex jambo lingineWatu wengi wanawaza mapenzi tu ndio maana wanazaliana hovyo kama panya.
Au sio okvingi tuu kipekee sijawahi omba sex napewaga tuu bure nadhani ni misimamo ya kutokubembeleza mtu unaweza sawa huwezi gudubaii