Chadema 2030
JF-Expert Member
- May 5, 2025
- 1,913
- 3,737
TUNATESEKA KWEL
Faida za kutokuomba omba .
Unajenga heshima yako .
Unaongeza kujiamini .
Unakuwa na uhuru zaidi .
Unajenga tabia ya kufanya kazi kwa bidii.
Mahusiano yanakuwa bora .
Unaepuka aibu na kukataliwa .
Ukiomba omba unafungulia nafasi ya kuwa mtumwa wa huyo unae muombaDah kuna mtu nilitaka nimuombe this weekend, ushanikata stimu
Kumbe kwenye kuomba kuna changomoto pia 🤣Ndio changamoto za kuomba hivyo!
Lazima upembejee🤣
Usisikilize ya watu kijana akili kicwani mwako🤣🤣Dah kuna mtu nilitaka nimuombe this weekend, ushanikata stimu
😅😅😅 AloooUkiomba omba unafungulia nafasi ya kuwa mtumwa wa huyo unae muomba
PoleeeTUNATESEKA KWEL
Una nini dear?Ila huu uzi khaaa!
KWA HIYO UNANUNUA JUMLA AU REJAREJA ?Kulombana hovyo hovyo ni kuuchimbua UKIMWI , sipendi kuomba , najiepusha na kuomba , kwa sababu sitaki shobo
Na nunua nini?KWA HIYO UNANUNUA JUMLA AU REJAREJA ?
NilijuaaaaaaNiliomba pesa nikanyimwa, aki nilijisikia vipaya!🤦🏽♀️
Usikubari pambana upewe haki yakoJust imagine unaomba alafu unanyimwa na uligharamika lazima vayolensi ihusike
KILE AMBACHO WENGINE WANAOMBANa nunua nini?
ExactlyKabla ya kuomuomba mtu nenda na slogan ya kwamba MSAADA SIO HAKI YAKO
KipiKILE AMBACHO WENGINE WANAOMBA