Kuolewa kwa kulazimisha

Kuolewa kwa kulazimisha

Kumbe mnajijua kuwa mnawatesa wadada wa watu.

Wala hatuwaendeshi. Kuna lifestyle mwanaume wa kiafrika akiishi ataona anaendeshwa.

Hivi unavyosemaga pasua kichwa una maanisha nini? Ndo nyie aina za wanaume wanataka wanawake wawe kama watumwa.

Sijui unanionaje navyojiweka. I'm actually a very quiet person. In every day life si rahisi kukosoa mtu. Wengine kazi zao, they've to be professional, kwahiyo unamweleza mwanaume kwa upole.

huwezi kwenda kumwambia mwanaume "wewe ni wa hovyo hamna atakayetaka kuolewa na wewe, huyo mwanamke uliyenaye ni mburula ndomana yuko na wewe."
Humu ndo tunawapa vya ukweli.

Wanaume wa kiafrika ndivyo walivyo,hawataki hata ukiwachallenge wanaogopa sana.....hivyo wanataka submissive women,waogopwe ogopwe wasiambiwe wamekosea,wao ndio wajuaji yani ilimradi tu mwanaume....
 
Wengine uvumilivu ni zaidi ya negative zero, unaona kabisaaa huo wito haupo maana utapata murder case bureee, mambo ya sijui shetani alinipitia(why umerudi peke yako? Mngepotelea hukohuko wote) Sitaki kabisa kuyasikia.

Hahahaa, atoto we utakua twin wangu
Mimi ukishaona ulipitiwa na shetwani upitilize nae huko huko,zero torelance kwa ujinga....
 
Hahahaa, atoto we utakua twin wangu
Mimi ukishaona ulipitiwa na shetwani upitilize nae huko huko,zero torelance kwa ujinga....

Yaani mie ujinga sitaki kabisaaaa! Nami nakupasua kichwa tu ushindwe kunisoma, yaani nakuvuruga huelewi nakupenda au sikupendi basi tunabakia na mazoea tu.
 
kutokapenda haimaanishi kwamba sio reality, me watu wangu wote wa karibu kuna sababu zilizowafanya waoe hasa wakiwa vijana including mwanamke kumganda, au kushika mimba, ukishabeba mimba mwanaume mwenye busara hachomoki, ushindani umekuwa mkubwa sana wa upatikanaji wa wanaume waoaji.

Hizo ndoa bado ni changa,baada ya miaka kumi hakutakua na ndoa hapo kwa hao jamaa zako wa karibu kutokana na sababu zao za kuoa
 
Ee RRONDO mie kabisaaa niwe pasua kichwa kweli!!! Muulize ex darling ambae sasa hivi ni mjomba wangu Eli79 atakuambia nilivyo mpole na wife material😉, kama namuona Heaven Sent anavyosonya kimoyomoyo.
Hahhahaha kwani me nabisha basi, wife material wa mtu huyo. Si nilikwambia kila mtu na mtuwe
 
Last edited by a moderator:
Yaani mie ujinga sitaki kabisaaaa! Nami nakupasua kichwa tu ushindwe kunisoma, yaani nakuvuruga huelewi nakupenda au sikupendi basi tunabakia na mazoea tu.

Hahahaa sisemagi its over,utajiongeza mwenyewe kama ni mzito shaurilo,ila mimi nilishasonga mbele mdaaa....
 
Hivi wewe na paulo ndio mlipotelea wapi? Mlikuwa mnafanyana nini hadi mtokomee hivyo?

Mie na ukorofi wapi na wapi?
Mwenzio nilishikwaje na homa khaa, paulo anaandaa mambo ya sikukuu
Daah nilisahau ulivyo mpole hivyo mtoto wa watu mmmh
Niliambiwa eti mimi sio wife material ni material wife mweeeh! Ila kuna kaukweli kidogo.
Ahhahaha labda ni money material teh teh
Khaaah sasa wazungu hadi niogelee!! Na kula kumegoma kuachika nifanyeje sasa!
Nilikwambia sio lazima kuogelea, tutakuwa tunapiga tu ekotite
 
Hahahaa sisemagi its over,utajiongeza mwenyewe kama ni mzito shaurilo,ila mimi nilishasonga mbele mdaaa....

Huo ndio mpango, unamkoroga mtu hadi anaona hili janga la wapi tena, anajiongeza tu, km hajiongezi unamuacha hadi atakapojiongeza.
 
Mwenzio nilishikwaje na homa khaa, paulo anaandaa mambo ya sikukuu
Daah nilisahau ulivyo mpole hivyo mtoto wa watu mmmh

Ahhahaha labda ni money material teh teh

Nilikwambia sio lazima kuogelea, tutakuwa tunapiga tu ekotite

Daah pole sana mpenzi, uache kuchat hadi usiku wa manane.
Sasa gutambi gumegoma kuisha nitavaaje zile chupi khaaah!!
 
Daah pole sana mpenzi, uache kuchat hadi usiku wa manane.
Sasa gutambi gumegoma kuisha nitavaaje zile chupi khaaah!!
Khaa wife material Nachat mwisho Saa 2 teh

Teh vaa zile kanyela mumo
 
"75% yalishawahi kunihusu ndo maana sitakaa nimzodoe mtu anayekaa kwenye mahusiano tasa miaka 2, 3, 5, 10 20".... Akae tu maana akija kufanikiwa kutoka atakuwa amekua sana na akitoa ushauri lazima ueleweke maana ni "first hand information". Ukiona mtu yuko kwenye uhusiano mgumu ukamhubiria mpaka akatoka ujue mchango wako ni mdogo sana - alikuwa ameshafikia kiwango kikubwa cha uelewa na kilichomtoa ni utashi wake. Ukiona mmemwambia lakini hasikii basi ujue dozi ya mateso haijatosha kumfanya afunguke na kuvuka kiwango cha ujinga alio nao ndo maana ana excuse kwa kila kituko anachofanyiwa.

Mlioko kwenye mahusiano sugu si kwamba hamjaambiwa. Mmeshaambiwa sana tena wengine kwa upofu wenu mnawasaliti watu wanaojaribu kuwafungua macho. Unaskia "baby eti rafiki yako fulani ameniambia wewe ni malaya sana, huna fyucha na mimi...unanichuna tu..."!! Ukija kufunguka macho na kuona kila kitu kama kilivyo ndo unaanza kuwakumbuka mitume na manabii wote uliowafukuza na kuwasaliti. Ndo maisha. Unafanya mtihani, unafeli, unasapu, unafeli au unafaulu..ukikata tamaa unadisko halafu unaanza kusema "wanawake/wanaume wabaya!!!" kumbe we ndo tatizo. Kwenye maisha huwezi kuchagua maswali ila unaweza kuchagua kufaulu au kufeli.
 
Back
Top Bottom