Atoto
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 89,437
- 176,388
Hahaha kumbe unaijua vizuri akili ya ex- mwanao? Teh brod darlin yule, siwezi mfanyia ukuda
Baba yako ndio ex wangu, wewe huwezi kuwa ex mwanangu, u'll still be my doughter.
Hahaha kumbe unaijua vizuri akili ya ex- mwanao? Teh brod darlin yule, siwezi mfanyia ukuda
Mmh unanilazimisha niwe mwanao? AkhuuuuBaba yako ndio ex wangu, wewe huwezi kuwa ex mwanangu, u'll still be my doughter.
Hahaha my kaka mito ana utani karibu na kweli, yani undugu wangu me na yeye umeshake kusema na ukweliSi unaona akili zako sasa, unazo za darasani tu kama kaka yangu mito alivyokuambia, ukitoka tu hapo majanga yanaanza, mwambie baba yako akuhamishe uswahilini.
Hahaha my kaka mito ana utani karibu na kweli, yani undugu wangu me na yeye umeshake kusema na ukweli
Afu ule uzi, mbona kama wahusika ni mimi na wewe, my kaka kajitahidi kusema sijui mmoja kaolewa ili tusijishtukie tu. ( hao ndugu zake wawili wa kike ni kina nani zaidi yetu?)
Cha msingi na sekondari, unavaa viatu namba ngapi, zile pair zako 2 tuwe tunabadilishana na hizi zangu angalau wasinotice sana viatu vyetu, my kaka kajua kutujungua
Eeeh Shosti nywele kipilipili kama kawaida, naturalista sieee. Naomba na nguo tuvaliane mwee, sema nilivyonyorodoka mwili sasa hivi, ngoja nianze kufukia menu. Ila my kaka ana vichambo, eti mtu hajafika ila unajua kabisa atakuja na nguo fulani na vile viatu vyake vya kila siku. NimekomaaaHahahaaaa!! Hebu kesho uje tulijadili hili kwa kina ikiwezekana tukazane na mazoezi na miili ilingane na nguo tuwe tunabadili tuonekane tumenunua zingine, ila sasa mie nywele sifugi ng'oooo, na malipusitiki yenu hayo mnitue kwakweli.
Nyie mngekuwa nyumba moja sijui ingekuwaje aisee
Eeeh Shosti nywele kipilipili kama kawaida, naturalista sieee. Naomba na nguo tuvaliane mwee, sema nilivyonyorodoka mwili sasa hivi, ngoja nianze kufukia menu. Ila my kaka ana vichambo, eti mtu hajafika ila unajua kabisa atakuja na nguo fulani na vile viatu vyake vya kila siku. Nimekomaaa
Teh tulivyo wapole sasa, tungeshinda tu tunaoneana aibuNyie mngekuwa nyumba moja sijui ingekuwaje aisee
Mmh shida gani hiyo jamani mweeeHahaaaa! Alafu nina shida na wewe hujui tu, subiri kwanza
Mmh shida gani hiyo jamani mweee
Yani tatizo ni mkoa tu niliozaliwa teh, nakusubirijeUmbea utakutokea puani, ngoja nije chemba kwanza, nimekumiss tu mamito wangu.

Hahaaaa! Alafu nina shida na wewe hujui tu, subiri kwanza
Mmh shida gani hiyo jamani mweee
Douta huyo ex mama asije kukuambukiza kupenda pesa huko chemba...Btw atoto haunipi cha kufungia mwaka?..Hii ni nje ya mkatabaUmbea utakutokea puani, ngoja nije chemba kwanza, nimekumiss tu mamito wangu.
Douta huyo ex mama asije kukuambukiza kupenda pesa huko chemba...Btw atoto haunipi cha kufungia mwaka?..Hii ni nje ya mkataba
Teh teh..Ni jeuri tu..Ila nakumiss..Ntakuja aisee..Nataka kuja kuweka kumbukumbu ambayo hautakuja kuisahauHahahaaaa! Kumbe unanimiss eeeh? Hata mimi nimekumiss, njoo tufunge mwaka ex darling wangu eeeh.
Teh teh..Ni jeuri tu..Ila nakumiss..Ntakuja aisee..Nataka kuja kuweka kumbukumbu ambayo hautakuja kuisahau