NANDERA
JF-Expert Member
- Mar 18, 2014
- 2,023
- 2,492
kama hunifahamu mbona unabishia profeshen yangu? Au walimu tunachukuliaje?Hapana, sikufahamu. Lakini unanivutia nikufahamu..teh. Hata kukujua kabisa![]()
kama hunifahamu mbona unabishia profeshen yangu? Au walimu tunachukuliaje?Hapana, sikufahamu. Lakini unanivutia nikufahamu..teh. Hata kukujua kabisa![]()
Umeenda mbali NANDERA, sina maana yoyote mbaya juu ya fani ya mtu. Nilikuwa nafanya utani kuwa yawezekana wala we sio mwalimu, japo unajitananabaisha kuwa mwalimu..kama hunifahamu mbona unabishia profeshen yangu? Au walimu tunachukuliaje?
Ahaa.... ulivyosema inawezekana mimi si mwalimu nikajua umedharau taaluma yangu maana taaluma hii humu ndani haiheshimiki kabisa. Pale pa ..kujua pale nikasema yeeeeto!Umeenda mbali NANDERA, sina maana yoyote mbaya juu ya fani ya mtu. Nilikuwa nafanya utani kuwa yawezekana wala we sio mwalimu, japo unajitananabaisha kuwa mwalimu..
...teh teh..ukasema yeeeto! Hakuna ubaya katika hilo, tena hutakaa ujute..hahahaaa!Ahaa.... ulivyosema inawezekana mimi si mwalimu nikajua umedharau taaluma yangu maana taaluma hii humu ndani haiheshimiki kabisa. Pale pa ..kujua pale nikasema yeeeeto!
Hapana, sikufahamu. Lakini unanivutia nikufahamu..teh. Hata kukujua kabisa![]()
Wivu huna ila roho inauma tiriririririiiMmmmh!! I can read bt lines, hata ubishie ukweli ila ulichokimaanisha kimeonekana dhahiri.
Wivu huna ila roho inauma tiriririririii
Asante sisy darling kwa kuliona hilo. Hana wivu lakini anatamani nile vitamu, najitolea kwa kazi hiyo..teh!!Wivu huna ila roho inauma tiriririririii
Asante sisy darling kwa kuliona hilo. Hana wivu lakini anatamani nile vitamu, najitolea kwa kazi hiyo..teh!!
Uache wivu bhana.....karne hii nakuwa wako tukiwa home, nikitoka ni mali ya wote!!!
Hakuna bwana, ukifikiri vile utakuwa umeathirika tu, sijawahi kuwaza hivyo ujuwe... naheshimu kazi na chaguzi za watu...hasa yako kipenzi wa zamani..teh!Unajua kabisaaaaaa sikumaanisha wivu, usipindishe mada hapa!!
Hakuna bwana, ukifikiri vile utakuwa umeathirika tu, sijawahi kuwaza hivyo ujuwe... naheshimu kazi na chaguzi za watu...hasa yako kipenzi wa zamani..teh!
Teh nimemuelewa vizuri brod darlinSi unaona sasa matatizo yako, na akili zooote hizo my doughter haujang'amua tu? Alafu mwambie baba yako nimemmiss.
Teh teh me sisemi kitu ujueAsante sisy darling kwa kuliona hilo. Hana wivu lakini anatamani nile vitamu, najitolea kwa kazi hiyo..teh!!
Teh nimemuelewa vizuri brod darlin![]()
![]()
Stay away from my papa, unadhani atakuhonga hela ya sikukuu.
Hahaha kumbe unaijua vizuri akili ya ex- mwanao? Teh brod darlin yule, siwezi mfanyia ukudaHavisemwagi hivyo!! Walaa hujamuelewa maana kwenye kipengele cha uelewa una zero ++