Kama huwezi endelea kukaa bachelor hakuna mtu utakayempata kama mwenza atakkaye kufanya ucheke tuuuuuu. Malaika huyo duniani hakuna awe mke au girlfriend

Uko dunia gani mama?Unafikiri kila anaekunywa maziwa anafuga ng'ombe?

Najua kuna wanaokunywa maziwa kwa kulipia bili kwa ng'ombe wa jirani. Bali ukweli unabaki pale pale mfugaji anakunywa maziwa zaidi ya mtegemea ya kununua

Nyumba kubwa usihangaike kubishana na Eiyer maana anabisha kitu ambacho kiko wazi na sijui atakuja kumuoa malaika na anategemea kweli atampata

Kama unataka kujua kucheza mpira ingia uwanjani uvae jezi ucheze haya ya kuongelea na kujifanya unajua sana kucheza mpira ukiwa nje wakati sio kocha wala mshauri wa timu haifai

Mpira wa kujifunzia kwenye computer

Same na ndoa yako ya kuigiza na watu wa kuigiza na wasiokuwepo. Tushaamka sana kaka na ukiendelea na huo utandawazi wako na kuwaza kila kitu ni ngumu tafuta mke wako umuumbe mwenyewe na ukae nae mwenyewe

Ndoa siku zote nzuri kwa wanawake tu kwa wanaume ni mateso ya milele!!!!!!!

It's too bad u don't wanna wake up!Unaendelea kufikiri ndani ya box!
hahahahaaaa kwani lazima kulala uchi?? na wewe khaaaa, mende wakiingia je?Kulala uchi ndo raha?
hapa ni kuingia ngomani na kucheza tu, ukiwa mme ww tafuta, hangaika, mpe mke akitakacho shukurani yake ni matusi na dharau na inabidi ubembeleze ili usiku upite vizuri. angalau uwe na wake kuanzia wawili ndo heshima kidoooooooooooogo.

Duhhhhhhhh
Asante very useful info...
waweza kutupa sababu
Kidomcho tuuu..
hapa ni kuingia ngomani na kucheza tu, ukiwa mme ww tafuta, hangaika, mpe mke akitakacho shukurani yake ni matusi na dharau na inabidi ubembeleze ili usiku upite vizuri. angalau uwe na wake kuanzia wawili ndo heshima kidoooooooooooogo.