Mbu hatukukimbizi ila waruhusiwa kuchangia maana the way unavyoishi na mchumba uliye nae inadetermine the way utakavyokuja kuishi na mkeo. Kama mnakwaruzana hapa na pale, mnasaidiana, mnashauriana, mnaliwazana ndo mtakavyokuja kuishi ndani ya ndoa.
Usiogope kuingia kisa unayoyasikia humo ni mabaya au ni ya ajabu
Yapo na kila mtu ana namna anavokabiliana na masuala ya ndoa hata kama ni ngumu kwake ila anajua namna anavyosolve mambo yake ndani ya ndoa yake.

...Umeona ee?....

"You have two choices in life: you can stay single and be miserable, or get married and wish you were dead."

Namuonea gere Samawati na Mumewe, miaka tisa na nusu si mchezo...lol...

Eiyer true sumu haipimwi kwa kuonja. And ndoa moja ambayo umeiona ina mgogoro sio kipimo cha kusema kuwa ndoa zote zina mgogoro. Ndoa ni wewe utaitengeneza na ukiamua kuwa ndoa yangu iwe hivi au vile itakuwa the way unavyotaka. Maisha sio kuiga au ndoa si kuiga fulani anafanya nini. Ishi kwenye ndoa the way unavyotaka.e

Unless mtu ameamua kuziishi hizo segment... Ukiamua hauishi humo...

So Eiyer do you think ndoa ni lidubwasha likubwa do complicated, hard and lots of trouble. Ni ndoa ya nani unaichuklia mfano. Na nini kimeifanya hiyo ndoa ifikie hapo. Je wahusika walikuwa wanapendana walipooana

Je mapenzi yao yalikuwa real au waliingia kwenye ndoa kutokana na forces behind their back

Je uaminifu wao kwa kila mmoja ukoje

Je wanasuluhisha vipi mambo yao wakigombana

Na je ni nini vigezo vyako vya ndoa bora

Wako watu wanaosema ndoa ndoano

kwamba ndoa ni msalaba na mengine ya kuponda.

Acheni niwatajie baadhi ya raha za kuolewa!

Ukiolewa kwanza unapata kibali cha kuwa na mpenzi wako kihalali.

Raha zako ni halali! Huhukumiwi na mtu yeyote tena.

Pia unapokuwa na mume una uhakika wa ulinzi kwa maana una pa kukimbilia.

Hakuna mtu atakutishia kwa lolote. Una uhakika wa kupata msaada wakati wowote.

Ukiwa na mume unaweza kujijaribia mambo mengi kama huyo mume ni mtu mwenye

uelewa na mwenyewe msaada. Waweza kuondoka kazini ukaenda masomoni na ukajua

hutaishiwa au kupungukiwa.

faida ziko nyingi sana ............. kwa wanawake wenye kufurahia ndoa hebu nanyi elezeeni mnavyofurahia

ndoa zenu!

Waume zetu mpoooo??

We Eiyer hayo maisha ya ndoa uliishi wapi mpaka utuambie kuwa ni ya ajabu na hutaki kuyaingia

Who told u kuwa hakuna ndoa salama. Huo utafiti wako umeufanya kwenye ndoa zipi na wapi na ulichukua sample zako kwa kulinganisha na nini?

Na hizo tafiti za walio na hatari ya kupata bp na ukimwi ulichukulia wapi

Na uliowahoji wote walikiri ni sababu ya ndoa zao kuwa mbaya

Yeah sio kila aliyeona mpira ameingia uwanjani. Ila suala la ndoa sio la kuzungumzia as if unazungumzia mpira. Njoo na concrate data za kuthibitisha maneno yako. Ukisema hakuna ndoa salama njoo na data utuambie miongoni mwa ndoa mia zilizofungwa mwaka huu ndoa kadhaa zimevunjika, ndoa kadhaa wanaume au wanawake kwenye hizo ndoa wanacheat, ndoa kadhaa waume au wanawake kadhaa wana ngeu kutokana na kipigo, ndoa kadhaa ziko mahakamani au makanisani na misikitini sikisubiri kusuluhishwa, ndoa kadhaa wanandoa wanalala mzungu wa nne

Hakuna ndoa iliyo salama!4 your imfomation wanandoa ndo walioko kwenye hatari kubwa ya kupata maradhi kama ukimwi na maradhi yanayosababishwa na mihemko kama vile BP n.k!
actually kuoa au kuolewa ni better.....
But kusema ni raha zaidi,that depends......
Yeah sio kila aliyeona mpira ameingia uwanjani. Ila suala la ndoa sio la kuzungumzia as if unazungumzia mpira. Njoo na concrate data za kuthibitisha maneno yako. Ukisema hakuna ndoa salama njoo na data utuambie miongoni mwa ndoa mia zilizofungwa mwaka huu ndoa kadhaa zimevunjika, ndoa kadhaa wanaume au wanawake kwenye hizo ndoa wanacheat, ndoa kadhaa waume au wanawake kadhaa wana ngeu kutokana na kipigo, ndoa kadhaa ziko mahakamani au makanisani na misikitini sikisubiri kusuluhishwa, ndoa kadhaa wanandoa wanalala mzungu wa nne