Kuogelea na mavazi haya?

Kuogelea na mavazi haya?

Watu wengine nuksi tu, kama huyu. Si bora asingeogelea?
 
Na ndio nchi zinazoongoza duniani kwa kuangalia porn movies kwenye mtandao kuliko hata hao wazungu wenyewe wanaozitengeneza

Unaushahidi na unachokizungumza?o just soga2

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
Kuwa mkweli wa Mungu, tuache matusi, unadhani kweli kwa hiari yake atavaa hivyo. Kuwa mkweli, sheria inamlazimisha kuvaa hivyo.
Wewe una mjia MUNGU.... au unajua Msalaba tu!? hilom kwanza ...
Pili WEWE hukulazimishwa kuvuua hayo magwanda ulojistiri...upo huru kuwa bila mavazi... hebu tukuone utembee utupu !!
Tatu mrembo huyo yupo Public beach...yaonesha wazi kuwa yupo happy wala hakulazmimishwa !! tumia akili yako!! usitumie makalio yako kujua ukweli !!
 
huyo inaweza akawa jini,wanawake wanaovaa hayo mavazi huwa nawaogopa sana
 
images
 
Back
Top Bottom