Tony Laurent
JF-Expert Member
- Jan 5, 2011
- 6,453
- 8,437
Arabuni kila kitu ni sheria
Ndiyo maana uarabuni kuna maambukizi madogo ya ukimwi kuliko nchi zetu zinazofuata utamaduni wa wazungu
Na ndio nchi zinazoongoza duniani kwa kuangalia porn movies kwenye mtandao kuliko hata hao wazungu wenyewe wanaozitengeneza
Kuangalia kuna athiri nini mwili wako?jee kuoa mwanaume mwenzako ni sawa kwa kuwa mzungu kakubali?
Arabuni kila kitu ni sheria
Wewe hiyo arabuni ya wapi ? hebu vua hayo maPlastici... uone !!
Coco beachi hiyo!
Ndiyo maana uarabuni kuna maambukizi madogo ya ukimwi kuliko nchi zetu zinazofuata utamaduni wa wazungu
Arabuni kila kitu ni sheria
migongo !!Kitu gani kinakuonyesha pale ni coco beach?