Kuoga baada ya Faragha

Unafanya mapenzi na mwenza wako zaidi ya mara nne hadi tano ili iweje?

Hivi kuna walio katika ndoa wanaofanya mapenzi zaidi ya mara nne kwa usiku?

Hao ni wale walochukua mke/demu wa mwenzie-wanataka kukomoa!
 
kuoga muhimu,kwa kuwa yeye ni mtu wa dini,na ukiwa mtu wa swala 5,inatakiwa uoge na kama m.ke mpaka na nywele unaziosha.maana kabla ya kuswali,janaba haitakiwi.
 
hahaha preta bana hata nawa basi maana kusaipopita maji game zingine hazinogii etii....

a a....shemejio anataka kipapa tepetepe....sasa nikioga huoni kama nitaharibu mandhari nzima.....think obsesd think(sosi @klorokwin)
 
Ni Vizuri kuoga,na ukioga unapata nguvu mpya Kama mnataka kurudia,istoshe usafi muhimu kwani jasho linalowatoka pale sio zuri.....
 
Unatakiwa uoge mkisha maliza complete not after every round. Kiusafi zaidi na kiafya hasa kwa mwanamke unatakiwa uoshe uke usilale na manii ya mwanaume yamekutambaa, yanaleta mifungus na maradhi.
 
Unafanya mapenzi na mwenza wako zaidi ya mara nne hadi tano ili iweje?

Hivi kuna walio katika ndoa wanaofanya mapenzi zaidi ya mara nne kwa usiku?

Ama kuna watu wana nguvu, malengo ya kukurukakara usiku mzima ni nini? Kwani hamna kesho na keshokutwa?
 
Ama kuna watu wana nguvu, malengo ya kukurukakara usiku mzima ni nini? Kwani hamna kesho na keshokutwa?
Navyo amini kuna watu wanakula vyakula vyenye faida, usione mtu anakula kuku mzima ukasema ana nguvu kuliko anaye kula njiwa haswa kwenye mambo ya sex...kumbuka ukila njiwa hukosi kuruka :bounce:
 
Back
Top Bottom