Miss Neddy
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 14,684
- 8,760
nilishawahi kuiona humu hii kama sikosei
kujitambulisha na kutoa mahali
>>kwenye bluu wapi?? Au unamaanisha mahari
kujiendekeza HAKUNA KWENDA KIJIJINI kufanya nini sasa???
diamond platinumz anajilia vyake kimya kimya tu