Hahahahha mkuu umenikumbusha ngarenanyuki,,ni meru ndani ndani yaani huko kuna magari mawili tuu yanapishana ukiyachelewa tuu imekula kwako lazma ulale huko...KATIKA HALI YA KAWAIDA KAMA WEWE NI MWANAUME NA
UNATAKA KUOA JIANDAE KWA MAMBO YAFUATAYO...
1. Kujitambulisha Ukweni. Hapo Utatakiwa Uende Kijijini
Alikozaliwa Mkeo Mtarajiwa Ukajitambulishe Huko. Kama
Mfano Mkeo Anatokea Mwanza, Na Mnaishi Dar, Andaa
Nauli Ya Watu Wawili, Malazi Kwa Siku Mbili, Na
Utagharamia Shuhuli Hiyo Ya Utambulisho. We Tenga
500,000. Hapo Tuna Assume Mkeo Atajitegemea. Otherwise
800,000 Itakutoka.
2. Kumtambulisha Mkeo Kwenu. Kama Nyie Nyumbani Ni
Arusha, Utatakiwa Umpeleke Huko Ngarenanyuki. Sio
Umlete Hapo Tabata Mlipopanga. Hapo Sio Kwenu! Andaa
Nauli Yako Na Atakaekusindikiza, Nauli Ya Binti Na
Mwenzie, Na Gharama Za Vinywaji Na Chakula Siku Hiyo.
Utahitaji Kama 700,000
3. Kifuatacho Itv Ni Kuwaalika Wakwe Zako Nyumbani.
Uwatoe Watu Kama Nane Mwanza, Uwalete Arusha. Wale,
Walale, Wajisaidie, Kwa Gharama Zako. We Acha Ubishi,
Tenga 800,000 Tu.
4. Kwani We Wazazi Wako Wanajua Unakooa? Sasa Je?
Wasafirishe Kwenda Mwanza! Watu Watano. Utahitaji Kuwa
Na 500,000. Beba Pia Atm Card Yako, Kuna Imejensi.
5. Mahari Ndio Topic Inayofuata Sasa. Ukiwa Mjanja,
Unganishia Kwenye Hiyo Safari Hapo Juu Uue Ndege
Wawili. Pamoja Na Hayo, Itabidi Ubebe 2,000,000.
6. Sasa Kijana Unaweza Kumvisha Mchumba Wako Pete.
Nunua Ya Kawaida Kabisa Ya Dhahabu. 350,000. Tukio
Lenyewe La Kumvisha Pete Unaweza Ita Marafiki Wawili
Watatu Ukatumia 200,000. Au Fanya Sherehe Kabisa. Mi
Simo
7. Oke, Sasa Unaweza Kuitisha Vikao Vya Harusi.
Tengeneza Kadi Za Mwaliko Wa Kamati Kwa 200,000, Kikao
Cha Kwanza Gharama Zote Ni Juu Yako. Andaa 500,000.
Swali La Kwanza Kwenye Kikao: “We Una Shing Ngapi?”
Sema 1,000,000.
8. Utahitaji 100,000 Ya Sms Na Simu Kukumbushia
Michango. (Shukuru Mungu Kuna Cheka Time)
9. Wakati Vikao Vinaendelea, Utatuma 200,000 Kwa M-
Pesa Ili Mambo Ya Kimila Yaendelee Kule Nyumbani. We
Unaelewa
10. “Darling, Sasa Mi Kwenye Kitchen Party Ntavaa Nini?”
300,000!
11. “Darling, Kuna Mahali Nimeona Gauni Zuri La Send…”
400,000!
12. “Baby, Rafiki Yangu Alinunua Gauni La Harusi China
Yani Lilimpende…..” 700,000!
13. Wakati Huo Wewe Mwenyewe Hujajua Utavaa Nini,
Hujanunua Pete Za Harusi, Hujamvalisha Best Man Na
Mkewe. Tuseme Unahitaji Kama 1,500,000 Maana Utalia Lia
Sana. Kumbuka, Gharama Hizi Huchangiwi Na Kamati.
Wala Hutarudishiwa.
14. Siku Ya Send Off Lazma Uende Mwanza. Utaenda
Mwenyewe? Ndugu Wawili Watatu Na Mshenga 600,000.
Kwenye Send Off Utatakiwa Kutoa Sijui Blanketi La Bibi,
Vitenge Vya Mashangazi, Na Vikorokoro Kibao. Nunua
Hivyo Vitu 300,000 Uende Navyo Ili Kupunguza Gharama.
Beba 200,000 Za Wale Mashangazi Watakaoibuka Ghafla!
15. Mshonee Baba Mkwe Suti 100,000 Mama Mkwe Yeye
Atavaa Gauni La 50,000.
16. Fotokopi Hiyo Hapo Juu (Namba 15) Kwa Wazazi
Wako. 150,000
17. Watu Watakaopenda Kuvaa Sare Wajitegemee! Mimi
Sina Hela! Ila Utavishonea Nguo Vile Vitoto Kwa 80,000.
18. Siku Mbili Kabla Ya Harusi, Utaanza Kupokea Wageni.
Unatakiwa Uwatafutie Malazi Na Chakula. Kwa Ujumla
Utahitaji Kama 500,000
19. Jioni Watoe Auti Mashemeji Zako Ambao Hawajawahi
Kufika Dar Ukawanunulie Bia Ili Wakuone Wa Maana.
200,000
20. Siku Ya Harusi Bibi Harusi Na Mwenzie Na Watoto Na
Ma Maids Watatakiwa Wakapambwe Saluni. 200,000
21. We Na Mwenzio Mtaenda Kunyoa Hapo Kwa Nanii.
Ndevu Na Nywele Na Black Kibishi 40,000
22. Siku Ya Harusi Beba Sadaka 10,000. Wakati Huo
Umeshamtuma Kijana Akakulipie Hoteli Mtakayofikia Baada
Ya Harusi. Kamati Haitoi Hela Hiyo, So Utalipa Malazi Ya
Siku Mbili 200,000
23. Kama Mtaenda Honeymoon Sehemu Yoyote Nzuri Nzuri
Nje Ya Mji, Si Chini Ya 800,000 Kwa Angalau Siku 5.
24. Wakati Uko Huko Honeymoon, Huna Hata Kumi,
Mwanakamati Mmoja Ambae Hakuchanga Anakupigia Simu
“ Sasa Tunavunja Lini Kamati?” Pesa Yote Iliyochangwa
Ilitumika Kwenye Harusi, Sasa Gharama Za Kuvunja Kamati
Ni Za Nani?? 500,000!
25. Sasa Mnaanza Maisha Ya Unyumba. 14,180,000
**Daaah kweli huu mchezoo hautaji hasiraaa**♠
jipe uoga utaishia nyeto ......ndoa si gharama ila ulimbuken ndo unaleta gharamaKATIKA HALI YA KAWAIDA KAMA WEWE NI MWANAUME NA

Imebidi nicheke!Halafu mwisho wa siku unakuja sikia mkeo anachepuka na tumbili mmoja hapo jirani ulipopanga......
Badae mwanamke anatwangwa selfie na huko kazini kwake.. Dadeki...........kweli mwanaume kaumbwa mateso,hiyo yote ni kwa ajili ya kitobo
Olewa..(..joke)Mmhh siowi
Kwani kwenu ni Arusha na mkeo anatokea bukoba???Dah...!!! Hii lawama alaf mi niko kweny prosesi za kumeri nikawa nahis 5mil kibish ntakalisha process nzima so nikawa najipnga kwa stail hii sion ndoa mayb aftr 5yrs
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]kweli mwanaume kaumbwa mateso,hiyo yote ni kwa ajili ya kitobo