Mangi Mlay
JF-Expert Member
- Dec 18, 2016
- 5,743
- 7,087
Katika nchi yetu hii nzuri Tanzania yenye fursa lukuki, huku tukiwa na usimamizi imara wa CCM chini ya Samia. Inapasa mtu kujua jambo moja tu ili maisha yako yawe na mafanikio.
Kama hautokei Kilimanjaro hakikisha unaoa au unaolewa na mtu wa Kilimanjaro.
Hakuna watu waliojaliwa vision wanaoweza kubadili kila hali kuwa fursa kama hao.
Leo hii viongozi wengi waliopo na waliopita kama hajao Kilimanjaro basi ameolewa Kilimanjaro.
Watu wengine wanakuwa na pesa lakini hawana mafanikio hawaishi kama inavyopaswa ila kwa mwenye mtu wa Kilimanjaro maisha yake ni baraka.