Kunyolewa nywele usiku nikiwa nimelala

Kunyolewa nywele usiku nikiwa nimelala

Imeshawai mtokea jirani yangu old mosh Kolila kule yey alinyolewa yey na bint wake. Na wote wakapigwa miti na bint ake
Nasikia wabab ambao Ni wenye nyumab huwa pia Ni wachawi wanafanyia sna wapangaji michezo hyo ...

Piiga sal nzito awatarud Kama usipo ondoka pale watakurudia
 
Wamechukua malighafi tuu.. Haina madhara kwake labda tu wawe wametumwa maalum kwa ajili yake.. Kupooza apake ndimu na chumvi hapo paliponyonyolewa
Kwa mara ya kwanza mshana kwenye uzi wangu nimepata faraja.
 
Hbr wana JamiiForums

Msaada kwa wale waliotuzidi maarifa naomba

Kujuzwa juu ya hili ambalo limenitokea jana

Usiku naamka asubui ya leo nakuta

Sehemu ya nywele zangu upande wa komwe.

Hapa nimenyolewa nywele msaada hii kitaalam

Imekaaje na pia natakiwa nifanye kitu
Cha awali ili kujilinda

Asanteni....!!

Nawasilisha
mkuu nakupa ushauri wa nenda saloon piga para moja matata halafu lala kesho yake uje utupe mrejesho kipi kimenyolewa. Baada ya hapo.
 
mkuu nakupa ushauri wa nenda saloon piga para moja matata halafu lala kesho yake uje utupe mrejesho kipi kimenyolewa. Baada ya hapo.
Kama walishachukua nywele wanaweza rudi tena??
 
Hbr wana JamiiForums

Msaada kwa wale waliotuzidi maarifa naomba

Kujuzwa juu ya hili ambalo limenitokea jana

Usiku naamka asubui ya leo nakuta

Sehemu ya nywele zangu upande wa komwe.

Hapa nimenyolewa nywele msaada hii kitaalam

Imekaaje na pia natakiwa nifanye kitu
Cha awali ili kujilinda

Asanteni....!!

Nawasilisha
Tupia kapicha tuone ulivyonyolewa
 
Usiwaze sana ,, mimi mwaka jana ilinitokea hali hiyo nikawaza nikasema nikinyoa kipara cha wembe labda zitaota lkn hazikuota hiyo sehem waliyonyoa wahuni,, nikasema kuanzia leo nanyoa kipara maisha yangu yote nikapotezeaga kabisa sikwenda kwa mganga wa kutumia dawa ya aina yoyote .

Watu walikua wananishauri niende kwa wataalam hata nyumban pia walinishauri ila sikumsikilza mtu nikapotezea tu, nimekaa kama miez 6 napiga upara tu nywele nilikua sizipi nafas ya kuota napiga para, mara ya mwisho nikasema ngoja niangalie kama zimeota nikashangaa zinaota nywele sawa mpaka leo ziko fresh ila kuna jamaa namfahamu alinyolewa mpka saiv ana miaka zaid ya 3 haziotagi .. nakushauri ww anza maisha mapya kunyoa kipara tu usiwawazie wachawi
Pole,mimi nilinyolewa 2014 sikwenda popote licha ya kushauriwa niende kwa waganga,nilishikilia imani yangu ya kumtukuza Mungu,zikaanza tena kuota 2016 mpaka zikajaa kichwa chote...
 
Nywele wanazozinyofoa huwa zinachelewa sana kuota, wadau wanakwambia puuzia sio ishu kubwa, ni kweli inaweza ikawa sio tatizo kulingana na wapi unatoka na ukoo gani.

Ndugu yangu wa damu alipata changamoto ya kunyolewa mara kadhaa na akawa anapuuzia, aliyumba sana kimaisha na mwisho akapoteza uhai huku mazishi yake yakigubikwa na vimbwanga vya ajabu.

Walimwengu hawana dogo, pambana
its true hata mimi kipindi niliponyolewa niliyumba sana kimaisha,nikaugua magonjwa yakanitesa sana,hali yangu ya ndoa ikavurugwa sana,lkn at last kila kitu kilikuja kukaa sawa,ni lazima umgeukie Mungu,vinginevyo kama usipokuwa makini wanaweza hata kukutoa uhai wako kama unavyosema...
 
Back
Top Bottom