Kunyolewa nywele usiku nikiwa nimelala

bolivia

JF-Expert Member
Mar 3, 2021
2,850
4,545
Hbr wana JamiiForums

Msaada kwa wale waliotuzidi maarifa naomba

Kujuzwa juu ya hili ambalo limenitokea jana

Usiku naamka asubui ya leo nakuta

Sehemu ya nywele zangu upande wa komwe.

Hapa nimenyolewa nywele msaada hii kitaalam

Imekaaje na pia natakiwa nifanye kitu
Cha awali ili kujilinda

Asanteni....!!

Nawasilisha
 
Hbr wana JamiiForums

Msaada kwa wale waliotuzidi maarifa naomba

Kujuzwa juu ya hili ambalo limenitokea jana

Usiku naamka asubui ya leo nakuta

Sehemu ya nywele zangu upande wa komwe.

Hapa nimenyolewa nywele msaada hii kitaalam

Imekaaje na pia natakiwa nifanye kitu
Cha awali ili kujilinda

Asanteni....!!

Nawasilisha
Ishawahi ntokea mara kadhaa hakuna hatua niliyochukua nilipotezea
 
Acha kujishughulisha kwa mambo madogo madogo...

Kama unaamini kweli umenyolewa (sijui na nani), na imesababisha show kukaa ovyo, unachotakiwa kufanya ni kwenda salon ili ku-level, na maisha yanaendelea.
 
Back
Top Bottom