Usiwaze sana ,, mimi mwaka jana ilinitokea hali hiyo nikawaza nikasema nikinyoa kipara cha wembe labda zitaota lkn hazikuota hiyo sehem waliyonyoa wahuni,, nikasema kuanzia leo nanyoa kipara maisha yangu yote nikapotezeaga kabisa sikwenda kwa mganga wa kutumia dawa ya aina yoyote .
Watu walikua wananishauri niende kwa wataalam hata nyumban pia walinishauri ila sikumsikilza mtu nikapotezea tu, nimekaa kama miez 6 napiga upara tu nywele nilikua sizipi nafas ya kuota napiga para, mara ya mwisho nikasema ngoja niangalie kama zimeota nikashangaa zinaota nywele sawa mpaka leo ziko fresh ila kuna jamaa namfahamu alinyolewa mpka saiv ana miaka zaid ya 3 haziotagi .. nakushauri ww anza maisha mapya kunyoa kipara tu usiwawazie wachawi