Kunyoa sehemu za siri.

makubwa jf kunavituko mbona kama mwili uliumbwa safi/hauna uchafu mbona unaonga unapiga mswaki? jaribu kushughulisha akili yako usiwe kama ndugulile aka madiwa wakigamboni
Mie nadhani tunaoga ili kuupoza mwili (hata wanyama huoga) na kutoa uchafu kama vumbi n.k. Tunapiga mswaki (safisha kinywa) kwa sababu ya kuepuka magonjwa yatokanayo na vyakula tulavyo. Je kunyoa nywele hasa sehemu za siri maana yake nini?
 
Fuga ili utupu upendeze
Sawa mie najaribu kuhoji hapa MANTIKI ya kunyoa hizo nywele wakati Mungu aliona inafaa ziwepo! Kwa mfano kukata kucha ziotapo ni kuepuka uchafu utakaosababisha maradhi, waonaje?
 

Mnh! Mie wala sina maneno mengi zaidi ya kuomba mumkubali. Hayo mengine mbona yanazungumzika? But wait a minute! Mbona Zion Daughter haumuozi haraka haraka? Upendeleo huo! Umuoze mwanagu ili tusikae nae!
 
Last edited by a moderator:
Wakati wa tendo la kujamiiana zinaweza kuchana dhakari ya mwanaume. Ni lazima zinyolewe ili kuepusha balaa. Halafu kitu kingine, ni kwa ajili ya usafi.
Swaaaaaaaaafi sana sio wengine wamekalia politiki tu basi.
 
Mnh! Mie wala sina maneno mengi zaidi ya kuomba mumkubali. Hayo mengine mbona yanazungumzika? But wait a minute! Mbona Zion Daughter haumuozi haraka haraka? Upendeleo huo! Umuoze mwanagu ili tusikae nae!
Hapa ndio tutakuwa marafiki sana.Nipigie debe baba akubali japo ng'ombe 2.Ila mkopo kama anaotaka majany hata mimi nakataa. Wachumba wanakuja yeye anataka ng'ombe 50? snowhite dada yangu nampenda sana na baba ameshakubali kimtindo si unajua anavyopenda ng'ombe na vile dada yangu ni white basi ni balaa.cc Mwita Maranya
 
Last edited by a moderator:
ZD kwani baba analazimisha kale kanakopingwa na serikali?
we ulikubali?
MIMI SITAKI !SITAKI! SITAKI!
 

Hahahaaaaa Zion Daughter,sitaki mkopo bana,juzi nilikua na baba mkwe Mwita Maranya maeneo ya Tabata kisiwani wakati nacheki nyumba ya Mtambuzi,nikamwelewsha kwamba nimerudi kutoka shinyanga na ng'ombe 17 wanakuja next wiki,akasema tutaongea,ila akasema nimwambie Mwa J kuwa nitatoa ng'ombe 2 halafu hao wengine nimpe offline....hapo ndipo napata utata....Nashindwa nifanyeje wakati miye nimeshakudondokea.Ngoja niende kwa aunt yako Kongosho nione atanishauri vipi....niko njia panda sweetheart...:yo:
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
Kumbe ndio hivooo? lakn mhhh mbona dady yangu Mwita Maranya ni muadilifu sana?? utratraaa..Ngoja tutakaa kikao cha familia kwanza..
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…