Kunyimwa tendo la ndoa

Kunyimwa tendo la ndoa

Mwanamke unayemkuna vilivyo ukimgusa tu,lazima uone response. She cannot resist to have you inside her papuch... Tatizo lenu wengi mnachezea first Chance! Ambayo ndio CV!
 
Hii mada inawahusu wale waliooa au wanaish na wachumba zao au wanaishi na mpenz wake au anaish na mwanamke tu... Je ni halali kwa mwanamke kubana tendo la ndoa..? Bila sababu na barid hii kali na mvua inanyesha kali sana....? Mwanamke kubana tutoa papuch...? Kwa kwel swala hili linakera sana.. sanaaa.. nilitaman kumpiga shoti ya umeme kwenye mapaja angalau mapaja yalegee sema malaika wa bwana akanishaur nisifanye hivyo... ninyi wanawake Kwann mnafanya hivyo... . Mimi kama Prof ninasikitishwa na hali hii.....
Mpaka mwanamke akakunyima tendo la ndoa lazima kuna sababu nyuma yake. Kwanza yawezekana humridhishi ndio maana tendo anaona kama unamboa tuu. Pili yawezekana kuna kitu au vitu umemfanyia ambavyo vipo moyoni mpaka mapenzi yamepungua hadi tendo la ndoa asione umuhimu wake kwa hiyo kaa nae muongee kwa kina lazima atakupa sababu ya kukunyima. Mwisho kabisa kama ni mpenzi au mwanamke tuu unaishi naye ana haki ya kukunyima sababu hujamuoa acha zinaa kama unampenda funga nae ndoa muwe na uhalali wa tendo hilo
 
Hii mada inawahusu wale waliooa au wanaish na wachumba zao au wanaishi na mpenz wake au anaish na mwanamke tu... Je ni halali kwa mwanamke kubana tendo la ndoa..? Bila sababu na barid hii kali na mvua inanyesha kali sana....? Mwanamke kubana tutoa papuch...? Kwa kwel swala hili linakera sana.. sanaaa.. nilitaman kumpiga shoti ya umeme kwenye mapaja angalau mapaja yalegee sema malaika wa bwana akanishaur nisifanye hivyo... ninyi wanawake Kwann mnafanya hivyo... . Mimi kama Prof ninasikitishwa na hali hii.....
Kama hutoi matumizi ni lazima unyimwe tu.Au kama unataka kama ugomvi ni lazima unyimwe tu.Mwisho chunguza huenda ana mwingine ndiko anakomalizia haja zake, au vile vile hauko kwenye akili yake kwa maana hakupendi.
 
Sasa prof kama mimi nishindwe kutoa PESA ya matumiz kweli
...?
 
asante proffesor ... sikufaham kama mvua pia inakua KALI nilifikir ni mvua KUBWA tu...
 
Ndio maana mnashauriwa muwe nao wanne, ukiona mmoja hajiwezi unahama kambi...hamna haja ya kugombana.
 
Hii mada inawahusu wale waliooa au wanaish na wachumba zao au wanaishi na mpenz wake au anaish na mwanamke tu... Je ni halali kwa mwanamke kubana tendo la ndoa..? Bila sababu na barid hii kali na mvua inanyesha kali sana....? Mwanamke kubana tutoa papuch...? Kwa kwel swala hili linakera sana.. sanaaa.. nilitaman kumpiga shoti ya umeme kwenye mapaja angalau mapaja yalegee sema malaika wa bwana akanishaur nisifanye hivyo... ninyi wanawake Kwann mnafanya hivyo... . Mimi kama Prof ninasikitishwa na hali hii.....

Kuoa haimaanishi kwamba mwanamme ukitaka tu tendo la ndoa lazima upewe. mwanamke pia ana haki ya kukataa kama hajisikii. Ukiona umenyimwa tafuta pakujisitiri, punyeto hapa inahusu au hata changu wa masaa tu.
 
Imeelezwa kuwa nchini India katika mji mmoja jamaa kamuua mkewe kwa kumnyima tendo LA ndoa kwa muda mrefu.Wanawake hiyo ndio fimbo yao ya kutuadhibu sisi wanaume.Hali hii inawakuta wanaume wengi ila huona aibu kueleza kuwa usiku wa Jana kanyimwa.Hakuna njia ni kuwabembeleza tu kwani ni miliki yake wewe anakupa akipenda ukifosi ndio unaharibu KBS kwani hilo ni tendo LA hiari
 
Hisia za mwanamke zipo very complicated hamjui tu hakuna ke ambae ana genye na ww ni mtu wake akakunyima penzi
Kwa asili sisi hatuwezi shiriki tendo karibu kila siku km nyie sasa akikwambia hataki nawaombeni muwe mnaelewa tumia muda mrefu kumuandaa kiakili kimwili na hatimaye hisia zitampanda atakubali kuachia
Tatizo lenu nyie wengi wenu ikisimama tu hapohapo unataka kupanda jamani jamani jamani na sie kwa hofu ili tusionekane tumekunyima ndo hivyo tunawakubalia lkn kiuhalisia mnakuwa mmetubaka hii hali ya kufanya tendo hivyo inakata hisia na mudi sana mtuelewe jamani tumeumbwa tofauti na nyie
Tunakubali, je siku wewe ukiwa na hamu mwenzako naye akafanya hivyo mtaaelewa? Au ndio yataanza madharau na kupondana?!
 
Piga punyeto mara 3...mawazo juu yake yakiendelea jiulize umemkosea nini Mungu.,..?
 
Back
Top Bottom