Kunyimwa tendo la ndoa

Kunyimwa tendo la ndoa

prof apo utakua unataka kuparamia kama baiskeli ndo mana....kama ni mke inabdi umuandae ki akili awe sawa..usimuudhi sku iyo....apumzike.....siku iyo ata nguo unamsaidia kufua huku ukijua jioni ni kuneemeka na papuchii
@ mpemba umetisha baba
 
Hii mada inawahusu wale waliooa au wanaishi na wachumba zao au wanaishi na mpenzi wake au anaishi na mwanamke tu.

Je ni halali kwa mwanamke kubana tendo la ndoa bila sababu na baridi hii kali na mvua inanyesha kali sana? Mwanamke kubana kutoa penzi?

Kwa kweli swala hili linakera sana sana nilitamani kumpiga shoti ya umeme kwenye mapaja angalau mapaja yalegee sema malaika wa bwana akanishauri nisifanye hivyo, ninyi wanawake kwanini mnafanya hivyo?

Mimi kama Prof ninasikitishwa na hali hii.
Tafuta michepuko miwili tu nje atakupa yeye mwenyewe na wewe utakuwa umechoka!
 
Chepuka kwani k anayo yeye peke yake mkuu Hadi uteseke kiasi hicho
 
Pia kuchoka jamani.. Mwanamke kama anafanya kazi anatoka jioni kabisa anarudi nyumbani aanze majukum ya nyumbani nayo yaliyokuwa yanamsubiri (wakati huo mwanaume akirudi anashika either remote au smart phone yake na kuingia jf, fb na kwingineko) akimaliza shughuli za nyumbani hapo ni saa ngap atatamani hilo tendo jamani?
Hapa nmeongelea wale walio ndani ya ndoa.
Absolutely right ...kwenye symmetrical families na hasa mwanamke akiwa na triple functions 1. To work for the family needs 2. Domestic chores na 3. Emotional support kwa watoto au mme ....hapo lazima afeli kitandani
 
MKUU, HATA MBUZI ANABEMBELEZA HADI KE ANALEGEA, SASA WEWE UNAOMBA PAPUCH KAMA UNAAMRISHA JESHN? MIMI MBONA SJAWAH KUNYIMWA TENA MARA NYINGI ANAJILETA MWENYEWE?

MWANAMKE ANAHTAJI MAANDALIZI AMBAYO WAKAT MWINGNE HAWEZ JUA KM YATAISHIA KWENYE SX ILA ANAJIONA TU ANALEGEA

UNAMPGISHA STORI ZA HAPA NA PALE ZTAKAZOMFANYA ATAMAN KULIWA PAPUCH NA KUKUMC KILA SAA.

UKIWA ROMANTIC UNAWEZA KUJIKUTA UNAMLA POPOTE PALE, JIKON, SEBULEN, BAFUN, CHUMBANI N.K

JIFUNZE MAHABA.

Cc. kapeace
 
Tendo la ndoa linaombwa hata kama ni mkeo, kama hiombi basi muandae au mshawishi kwa mashamsham mbona hawanaga ujanja, unachokosea unataka kuwasha kama sigara pale unaposkia kiu, chwaaa afuu uckilizie utam
 
Kama anakunyima mara kwa mara basi ujue hana hisia na wewe na anachepuka.Ila kama ni mara chache sana inatokea basi huwa amechoka tu,hivyo inabidi ubembeleze kidogo akuonee huruma.
 
Absolutely right ...kwenye symmetrical families na hasa mwanamke akiwa na triple functions 1. To work for the family needs 2. Domestic chores na 3. Emotional support kwa watoto au mme ....hapo lazima afeli kitandani
Mwanaume amepandisha ashki na hamu ya tendo wakati huo unawaza target kazini.. Boss anakuharass. As we all know kuna connection kubwa kati ya peace of mind ya mwanamke na hamu yake ya tendo la ndoa..
 
Mwanaume amepandisha ashki na hamu ya tendo wakati huo unawaza target kazini.. Boss anakuharass. As we all know kuna connection kubwa kati ya peace of mind ya mwanamke na hamu yake ya tendo la ndoa..
Nadhani sasa kama wanaume inabidi kazi ya traditional family iwepo kuwa mtafutaji 'breadwinner ' na mke awe na majukum yake ya msingi ikiwemo hiyo kumsapoti mmewe emotionally through sex ..lasivyo kesi kama hizi zinazidi na zinapelekea uchepukaji na break up ya ndoa
 
Hii mada inawahusu wale waliooa au wanaishi na wachumba zao au wanaishi na mpenzi wake au anaishi na mwanamke tu.

Je ni halali kwa mwanamke kubana tendo la ndoa bila sababu na baridi hii kali na mvua inanyesha kali sana? Mwanamke kubana kutoa penzi?

Kwa kweli swala hili linakera sana sana nilitamani kumpiga shoti ya umeme kwenye mapaja angalau mapaja yalegee sema malaika wa bwana akanishauri nisifanye hivyo, ninyi wanawake kwanini mnafanya hivyo?

Mimi kama Prof ninasikitishwa na hali hii.
Anabana ili akikutana na ampendaye awe na nguvu bado hujawajulia wewe?
 
Back
Top Bottom