Kunyimwa tendo la ndoa

Kunyimwa tendo la ndoa

Mimi kaninyima amesema hadi tufunge ndoa nami nimemwambia sawa tuu hadi ndoa lakini haimaanishi kua si sign document.
kuna mtu anampa, kijana shtuka! kwan kakuambia papuchi yake ipo SEALED!!
 
Hisia za mwanamke zipo very complicated hamjui tu hakuna ke ambae ana genye na ww ni mtu wake akakunyima penzi

Kwa asili sisi hatuwezi shiriki tendo karibu kila siku km nyie sasa akikwambia hataki nawaombeni muwe mnaelewa tumia muda mrefu kumuandaa kiakili kimwili na hatimaye hisia zitampanda atakubali kuachia

Tatizo lenu nyie wengi wenu ikisimama tu hapohapo unataka kupanda jamani jamani jamani na sie kwa hofu ili tusionekane tumekunyima ndo hivyo tunawakubalia lkn kiuhalisia mnakuwa mmetubaka hii hali ya kufanya tendo hivyo inakata hisia na mudi sana mtuelewe jamani tumeumbwa tofauti na nyie
Asante kwa ushauri mzuri, nimejua nini cha kufanya siku chche zijazo tutakapoonana hapo Kemondo.
 
Kuoa au kuishi na mwanamke hakumaanishi ndo uwe unapewa kila unapojisikia...

ME mnaodhani hivyo muache uzwazwa.
 
Miezi ya mwanzo Mke wangu alikuwa ikifika jioni anatafuta kesi akununie hadi asubuhi nilivyogundua,naondoka mchana kuludi usiku namchekesha namfuraisha namlisha mapipi mdomoni,mwisho wa siku napewa k safi ,bora asikione kwa muda akumisi
 
Hisia za mwanamke zipo very complicated hamjui tu hakuna ke ambae ana genye na ww ni mtu wake akakunyima penzi

Kwa asili sisi hatuwezi shiriki tendo karibu kila siku km nyie sasa akikwambia hataki nawaombeni muwe mnaelewa tumia muda mrefu kumuandaa kiakili kimwili na hatimaye hisia zitampanda atakubali kuachia

Tatizo lenu nyie wengi wenu ikisimama tu hapohapo unataka kupanda jamani jamani jamani na sie kwa hofu ili tusionekane tumekunyima ndo hivyo tunawakubalia lkn kiuhalisia mnakuwa mmetubaka hii hali ya kufanya tendo hivyo inakata hisia na mudi sana mtuelewe jamani tumeumbwa tofauti na nyie
Na nyie mnapokua mnaomba pesa zetu ...mtu andae psychologically sio mnaomba pesa kila siku ...kumbukeni tumeumbwa tofauti na nyie
 
Back
Top Bottom