Kunyimwa tendo la ndoa

Kunyimwa tendo la ndoa

prof apo utakua unataka kuparamia kama baiskeli ndo mana....kama ni mke inabdi umuandae ki akili awe sawa..usimuudhi sku iyo....apumzike.....siku iyo ata nguo unamsaidia kufua huku ukijua jioni ni kuneemeka na papuchii
Hahahahaaaaa eti kuneemeka na papuchi nimecheka sana mkuu
 
Dahhh kapeace hali ya hewa hii barid kali.. mvua... lazima na mwenzangu ahisi kama mimi ninavyohis kuhitaj joto.... inakuwaje yeye asitake joto...?
Professor ukijua hisia za ke zilivyo hutolia kwa staili hizi, zedudu msome alichoandika na Ndio tupo hivyo hatuna uwrzo wa kuliwa kila siku ni wachache mno mno ke wenye uwezo wa kuwa na ashki za kila Mara (wapenda ngono ) labda tu kuna dawa za asili za kusisimua na hapo utakuwa unaforge sasa lkn naturally tupo hivyo mbembeleze taratibu tu unaonekana hupendi mzunguko
 
Wanawake wa 'leo' mmeota sugu...bila kuandaliwa masaa mawili na bila kushushia glass 4 za wine basi vyuma havilegei....
Sio Kweli hata zamani ni hivyo sema walikuwa hawana Uhuru wa kusema anakubali tu kunfurahisha mume ila inshort ni ubakaji

Tizama wanyama jike walivyo wanapandwa wakiwa hot yaani wakiwa na genye na wanadamu tupo hivyo
 
Hisia za mwanamke zipo very complicated hamjui tu hakuna ke ambae ana genye na ww ni mtu wake akakunyima penzi

Kwa asili sisi hatuwezi shiriki tendo karibu kila siku km nyie sasa akikwambia hataki nawaombeni muwe mnaelewa tumia muda mrefu kumuandaa kiakili kimwili na hatimaye hisia zitampanda atakubali kuachia

Tatizo lenu nyie wengi wenu ikisimama tu hapohapo unataka kupanda jamani jamani jamani na sie kwa hofu ili tusionekane tumekunyima ndo hivyo tunawakubalia lkn kiuhalisia mnakuwa mmetubaka hii hali ya kufanya tendo hivyo inakata hisia na mudi sana mtuelewe jamani tumeumbwa tofauti na nyie
Lovely, its informative.
 
Unachokaje? Nyie ndio mnatengeneza mazingira ya sisi kuchepuka,

ab3495a92016a596dfffa37f6b878b76.jpg
 
Hisia za mwanamke zipo very complicated hamjui tu hakuna ke ambae ana genye na ww ni mtu wake akakunyima penzi

Kwa asili sisi hatuwezi shiriki tendo karibu kila siku km nyie sasa akikwambia hataki nawaombeni muwe mnaelewa tumia muda mrefu kumuandaa kiakili kimwili na hatimaye hisia zitampanda atakubali kuachia

Tatizo lenu nyie wengi wenu ikisimama tu hapohapo unataka kupanda jamani jamani jamani na sie kwa hofu ili tusionekane tumekunyima ndo hivyo tunawakubalia lkn kiuhalisia mnakuwa mmetubaka hii hali ya kufanya tendo hivyo inakata hisia na mudi sana mtuelewe jamani tumeumbwa tofauti na nyie
Ya nn umtese mkeo na beki tatu yupo??wanaume wengine tumeumbiwa huruma sana
 
Mimi kaninyima amesema hadi tufunge ndoa nami nimemwambia sawa tuu hadi ndoa lakini haimaanishi kua si sign document.
 
Back
Top Bottom