Chuck j
JF-Expert Member
- Jun 17, 2011
- 2,366
- 832
PoaHisia za mwanamke zipo very complicated hamjui tu hakuna ke ambae ana genye na ww ni mtu wake akakunyima penzi
Kwa asili sisi hatuwezi shiriki tendo karibu kila siku km nyie sasa akikwambia hataki nawaombeni muwe mnaelewa tumia muda mrefu kumuandaa kiakili kimwili na hatimaye hisia zitampanda atakubali kuachia
Tatizo lenu nyie wengi wenu ikisimama tu hapohapo unataka kupanda jamani jamani jamani na sie kwa hofu ili tusionekane tumekunyima ndo hivyo tunawakubalia lkn kiuhalisia mnakuwa mmetubaka hii hali ya kufanya tendo hivyo inakata hisia na mudi sana mtuelewe jamani tumeumbwa tofauti na nyie

