Kununua vitu mtandaoni is safe?

hahahahahha

Utaibiwa pesa zako bure!! Unaweza ukaletewa vitu tofauti na ulovyoagiza, Jamaa aliagiza viatu vya $2000 akaletewa zote za mguu mmoja. Uzuri ni kuwa na agent sehem husika eg, China, Singapore, Dubai etc,, wasiliana na mm baada ya mwaka mpya!!
 
sasa kwa mfano broo, mm ninayo visa card na master card, ninapo activate hyo visa card ni vigezo vip wanatumia kuchuku hela ktk a/c yangu kwa kiasi amabacho tumekubalana ktk bidhaa wakati mimi ndo mwenye a/c na namba za siri ninazo mm? hawawezi kuzidisha kiwango cha pesa na nitajuaje kama wameshachukua try ktk a/c?

paypal account ni kama account nyingine ya benk but rol yake ni kulink account ambayo unadipozit pesa na sela.so info zote ni siri otherwise we umpe mtu details zako.hawa jamaa wako serious na ukiwasoma wanakuelekeza vizuri sehemu sahihi ya kutoa details zako.na kuhusu namba za siri huwapi zile za ATM unachofanya ni kujaza zile tarakimu 12 zilizoko kwenye visa card wao watazitumia kuwasiliana na watu wa visa kuthibitisha.paypal wako veri strictly mkuu na wanafanya kazi worldwide.uaminifu ni sifa yao kuu.kuhusu makato ya pesa,kwa mfano ukienda ebay unapochagua bidhaa kuna link inakwambia 'buy it now' ukiclick na kufuata procedures mwisho wa siku wanakuambia kiasi in trms of US dollars ukikubaliana nacho unaendelea.but remember transaction haiwezi kuendelea hadi uende benk kuchukua benk statement inayoonyesha transaction na kiasi kilichokatwa.kutakuwa na code yenye tarakimu nne ambayo utarudi kuijaza kwenye account yako ya paypal ili kuidhinisha transaction.unapewa siku saba tangu siku ulipofanya malipo online kuidhinisha kwa hiyo code otherwise order na transaction inakuwa canceled.make sure una kiasi cha kutosha benki kabla ya kununua kitu.
 
mkuu chicco kama kwa wakati huu ninaishe sehemu fulani then after time nitahama je wanapokea mabadiliko ya address?? pia shipment ndani ya TZ inafanyika kwa njia gani??
 
Last edited by a moderator:
mkuu chicco kama kwa wakati huu ninaishe sehemu fulani then after time nitahama je wanapokea mabadiliko ya address?? pia shipment ndani ya TZ inafanyika kwa njia gani??

hawa jamaa kama nilivyosema wako makini sana so unachotakiwa ni kuwa makini tu.jipange vizuri coz ukikosea kidogo tu wanablock paypal account yako watahisi kuna mtu mwingine anataka kuiingilia.first thing usibadili herufi hata moja ya zilizopo kwenye hiyo visa/master card.ni kama benki tu jamaa hawawezi kubadili detail yoyote hadi wawe na uhakika kuwa wewe ndiwe mwenye account.kuhusu kutuma from experience me nimewahi kununua bidhaa toka usa,england na ireland na wote walitumia mashirika yao ya taifa yakusafirisha parceils na zilipofika hapa bongo posta walinitumia note kwenye address yangu ambayo niliitumia kwenda kuchukua mzigo.
 
Last edited by a moderator:
nimekuelewa mkuu.sasa kwa mfano mimi sina sanduku la posta wala home hatuna hyo ktu. nitapaje njia ya wao kunitumia mzigo wangu?
 
nilijiunga paypal na kwenye kuweka card wakaniambia kuwa "this credit card by the bank that issued your credit card.for details on why your credit card was denied please,contact your credit card issuer's customer service department.or you may trywant adding a different credit card ...
 
Kaka eliasy umeuliza swali la msingi... kama huna anuani ya posta inakuaje wakuu? Hakuna njia nyingine?
 
Last edited by a moderator:
nimekuelewa mkuu.sasa kwa mfano mimi sina sanduku la posta wala home hatuna hyo ktu. nitapaje njia ya wao kunitumia mzigo wangu?

huwezi kuwa na paypal account bila kuwa na address,watatumaje? Elewa kitu kimoja,unaanza kufungua bank account then hiyo address uliyotumia kufungua hiyo account ndo unaitumia kwenye paypal account kisibadilike kitu.
 
Kaka eliasy umeuliza swali la msingi... kama huna anuani ya posta inakuaje wakuu? Hakuna njia nyingine?

siwezi sema for sure but kwa ufahamu wangu bado hatujawa na zile address za kuletewa vitu hadi nyumbani.anyway wanachotaka paypal ni address ambayo utathibitisha kuwa ni yako wewe mwenye hiyo visa/mastercard.
 
Last edited by a moderator:
nilijiunga paypal na kwenye kuweka card wakaniambia kuwa "this credit card by the bank that issued your credit card.for details on why your credit card was denied please,contact your credit card issuer's customer service department.or you may trywant adding a different credit card ...

unapoingiza hizo tarakimu za visa card kwa mfano ya crdb or any visa card kuna sehemu unatakiwa kuingiza zile tarakimu 12 zilizopo upande lilipo jina lako na kuna sehemu unatakiwa ujaze tarakimu 3,hizo weka zile za mwisho kwenye ile sehemu ambayo unatakiwa kuweka sahihi yako juu ya picha yako.make sure haijawa expired,tembelea tawi la benki yako kuthibitisha card yako iko ok.
 
Mkuu.@Ghian Carter Unaweza kunuwa kitu online kwa Kampuni kama eBay au Amazon ila uwe na Viza card yako iwe na hizo pesa unazotaka kununuwa hicho kitu ila uwe muangalifu sana wanaweza kukuletea hicho kitu kisha kikiharibika hakuna guaranteed returns kama kikiharibika huwezi kuwarudishia utakuwa umeliwa pesa zako kwa mwenye kutak vitu vya kununuwa online awasiliane na mimi ninaweza kukusaidia nitumie Email yangu hii hapa fewgoodman@hotmail.com

According MacAfee Site Advosor The Website name is ( Electronics, Cars, Fashion, Collectibles, Coupons and More Online Shopping | eBay) it is Safe to use it
ebay.com

green-xbg2.gif
We've tested this site and found it safe to use.

ebay.com | Web Safety Ratings from McAfee SiteAdvisor

According MacAfeSite Advisor the webSite name is ( Amazon.com: Online Shopping for Electronics, Apparel, Computers, Books, DVDs & more )it is not Safe to use it.

http://www.amazon.com/
That link automatically redirects to:trailersreview.com...
right_arrow.png

This link isn't rated. Either we don't have enough information, or we haven't tested it yet. Proceed with caution.

amazon.com | Web Safety Ratings from McAfee SiteAdvisor

Mkuu nimechunguza hizi mbili Website Ebay na Amazon. Ebay ndio nzuri kununuwa vitu online Amazon nina wasiwasi nayo sio nzuri kununuwa vitu online.
 
Mimi ningependa kununua simu nje ila wasiwasi wangu ni customs hapa tz,charges zao zinakuwaje i already have paypal n crdb acc
Mkuu deogan Unahitaji simu ya aina gani wewe kununuwa? Ikiwa

utanunuwa simu na kulipa gharama zakusafirisha kwa mfano kwa njia ya haraka zaidi kuna mashirika mawili yanayoweza

kukuletea kitu chako nyumbani kwako kwa njia ya salama pasipo kupita kwa watu hao wezi wa customs charges Tanzania.

Mashirika haya hapa mawili moja linaitwa
(D.H.L.) na Shirika lingine linaitwa (UPS) haya mkuu yanaweza kukuletea hiyo simu

yako kokote pale ulipo bila ya wasiwasi wowote ili mradi ulipe gharama za malipo yao usafirishaji wanayo yataka unasemaje? Kwa

mwenye kuhitaji kitu chochote online nje ya nchi wailiana na mimi kwa njia ya Email yangu hii fewgoodman@hotmail.com ninaweza kukusaidia.
 
paypal account ni kama account nyingine ya benk but rol yake ni kulink account ambayo unadipozit pesa na sela.so info zote ni siri otherwise we umpe mtu details zako.hawa jamaa wako serious na ukiwasoma wanakuelekeza vizuri sehemu sahihi ya kutoa details zako.na kuhusu namba za siri huwapi zile za ATM unachofanya ni kujaza zile tarakimu 12 zilizoko kwenye visa card wao watazitumia kuwasiliana na watu wa visa kuthibitisha.paypal wako veri strictly mkuu na wanafanya kazi worldwide.uaminifu ni sifa yao kuu.kuhusu makato ya pesa,kwa mfano ukienda ebay unapochagua bidhaa kuna link inakwambia 'buy it now' ukiclick na kufuata procedures mwisho wa siku wanakuambia kiasi in trms of US dollars ukikubaliana nacho unaendelea.but remember transaction haiwezi kuendelea hadi uende benk kuchukua benk statement inayoonyesha transaction na kiasi kilichokatwa.kutakuwa na code yenye tarakimu nne ambayo utarudi kuijaza kwenye account yako ya paypal ili kuidhinisha transaction.unapewa siku saba tangu siku ulipofanya malipo online kuidhinisha kwa hiyo code otherwise order na transaction inakuwa canceled.make sure una kiasi cha kutosha benki kabla ya kununua kitu.
Kwa iyo mkuu kila ununuapo kitu ni lazima uende bank kuchukua code afu ujaze ndo malipo yafanyike?
 
Mkuu deogan Unahitaji simu ya aina gani wewe kununuwa? Ikiwa

utanunuwa simu na kulipa gharama zakusafirisha kwa mfano kwa njia ya haraka zaidi kuna mashirika mawili yanayoweza

kukuletea kitu chako nyumbani kwako kwa njia ya salama pasipo kupita kwa watu hao wezi wa customs charges Tanzania.

Mashirika haya hapa mawili moja linaitwa
(D.H.L.) na Shirika lingine linaitwa (UPS) haya mkuu yanaweza kukuletea hiyo simu

yako kokote pale ulipo bila ya wasiwasi wowote ili mradi ulipe gharama za malipo yao usafirishaji wanayo yataka unasemaje? Kwa

mwenye kuhitaji kitu chochote online nje ya nchi wailiana na mimi kwa njia ya Email yangu hii fewgoodman@hotmail.com ninaweza kukusaidia.
Mzizi mkavu, kuwatumia DHL gharama zao ni kubwa sana mara 3 ya kodi anayoogopa ndg deogan
 
Back
Top Bottom