Kunifundisha Kuogelea

Kunifundisha Kuogelea

Mom Fay

JF-Expert Member
Joined
Feb 21, 2014
Posts
1,059
Reaction score
316
Habari,


Wiki hii au ijayo...Natafuta mwanaume anaejua kuogelea maji mafupi na maji marefu,

Nahitaji mwalimu mzuri,

Awe mrefu kidogo,mwili wa mazoezi!,asiwe mweupe sana,akiwa mweusi ni sawa ila usipitilize!!..

Ajue utundu wa ndani ya maji,

Sauti na kujua kuimba ni sifa ya ziada!!.

Umri 23~30.!

Nikifurahishwa na somo lako nikajua haraka basi utapata ofa ya kuangalia muvi na mimi/kuspend usiku mzima tukipiga stori.

NB; Gharama zote kwako.
 
Yule w kuimba ulimkosa?

Halafu eti gharama juu yake,labda zoba ......!!

nimempata!!

sasa unafikiri kuna vya bure,kwenye kuswim sawa,but ofa hyo juu yake
 
nimempata!!

sasa unafikiri kuna vya bure,kwenye kuswim sawa,but ofa hyo juu yake

Hakuna vya bure hii ni sawa

Lakini hapa mwenye shida ni nani?

Mwenye shida ndie atakaegharamia hitaji lake

Wewe una shida halafu shida yako ilipiwe namtu mwingine .......

Narudia tena labda awe zoba!
 
khaa!! huyo ni mwalimu anayetafutwa hapa au nini jamani?
 
sifa zote ninazo ila naimba hip hop hapo vipi ?
 
Kesho njoo na anaejua kukimbia, lazima umpate usain bolt wako, anaejua kula iwe keshokutwa
 
Duh mama una mambo kama ndo style yako ya kupata mume hii wewe ni mkali asee, umeamua kumtaka mpiga mbizi
 
Hakuna vya bure hii ni sawa

Lakini hapa mwenye shida ni nani?

Mwenye shida ndie atakaegharamia hitaji lake

Wewe una shida halafu shida yako ilipiwe namtu mwingine .......

Narudia tena labda awe zoba!

kwenye kunifundisha gharama kwangu!.
 
Wewe ndiye unaehitaji kufunzwa halafu wewe ndio ugharamiwe, sawa nimeelewa
 
hahha kuna teacher mmoja anaitwa Deo ngoja nikuunganishe uwe tayar kwa mtomaso
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom