Habar,
wiki hii au ijayo...natafuta mwanaume anaejua kuogelea maji mafupi na maji marefu,nahitaji mwalimu mzuri,awe mrefu kidogo,mwili wa mazoezi!,asiwe mweupe sana,akiwa mweusi ni sawa ila usipitilize!!.. ajue utundu wa ndani ya maji,sauti na kujua kuimba ni sifa ya ziada!!.
umri 23~30.!
nikifurahishwa na somo lako nikajua haraka basi utapata ofa ya kuangalia muvi na mimi/kuspend usiku mzima tukipiga stori.
NB; gharama zote kwako.
Lazima uipende..maana mambo yamerahisishwa..tangazo kama hili unachagua mwenyewenaipenda jf.
khaa!! huyo ni mwalimu anayetafutwa hapa au nini jamani?
Hujajibu swali!
Mtu atake yeye kufundishwa halafu gharama ziwe kwa mtu mwingine
Lakini anaweza kupata maana mazoba wapo wengi sana!
aliwahi kunifundisha swimming
hata wakigharamia ajue atalipia in one way or another
nothing goes for Free
Yapo mengi sana ya bure mbona?
hapana....
we wamfaham
kama........
Ndio ......!!
Kula .....!!
aliwahi kunifundisha swimming
Hukuzama Kweli kweny lile swiming pool ww...