georgeallen
JF-Expert Member
- Jun 3, 2011
- 4,120
- 1,881
sijasema natafuta mme,nahtaji anaejua kuogelea anifundishe! ivo tu
kuogelea wapi? kwani unajijua una bwawa?
sijasema natafuta mme,nahtaji anaejua kuogelea anifundishe! ivo tu
hapana sikuzama yuko makini na wanafunzi wake
Mmh Deo hatari sanaa... Aliweza kukubeba Kweli?
Habar,
wiki hii au ijayo...natafuta mwanaume anaejua kuogelea maji mafupi na maji marefu,nahitaji mwalimu mzuri,awe mrefu kidogo,mwili wa mazoezi!,asiwe mweupe sana,akiwa mweusi ni sawa ila usipitilize!!.. ajue utundu wa ndani ya maji,sauti na kujua kuimba ni sifa ya ziada!!.
umri 23~30.!
nikifurahishwa na somo lako nikajua haraka basi utapata ofa ya kuangalia muvi na mimi/kuspend usiku mzima tukipiga stori.
NB; gharama zote kwako.
Huku ni kutangaza nia kwa mfumo mpya badala ya ule uliozoeleka wa "natafuta mwanaume"
Habar,
wiki hii au ijayo...natafuta mwanaume anaejua kuogelea maji mafupi na maji marefu,nahitaji mwalimu mzuri,awe mrefu kidogo,mwili wa mazoezi!,asiwe mweupe sana,akiwa mweusi ni sawa ila usipitilize!!.. ajue utundu wa ndani ya maji,sauti na kujua kuimba ni sifa ya ziada!!.
umri 23~30.!
nikifurahishwa na somo lako nikajua haraka basi utapata ofa ya kuangalia muvi na mimi/kuspend usiku mzima tukipiga stori.
NB; gharama zote kwako.
naipenda jf.
Ushaambiwa labda zoba, hapo hujaelewa nini?nimempata!!
sasa unafikiri kuna vya bure,kwenye kuswim sawa,but ofa hyo juu yake
Nimependa vigezo ulivyotoa!
Hiyo rangi ya mwalimu ni catalyst ya mwanafunzi kuelewa haraka eee?