Kunifundisha Kuogelea

Kunifundisha Kuogelea

Mafunzo upate wewe,Kuogele uogele wewe,story upigiwe wewe!!!! Gharama zote nilipe mimi Loo...!!! Mbona majanga haya.
 
Mie najua maji marefu tu... mafupi no...
 
Hembu wadadavulie,
Watu wengine hawajui hata Tafsida.
Huyu mwenzenu katumia tafsida ya hali ya juu.
Mngeuliza huko kuogelea kuogelea kupi au kwenye nini?
Via======>Kufikiri kwa kina na kwa Sauti
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom