Asprin
Platinum Member
- Mar 8, 2008
- 68,487
- 96,981
Hebu nipe nafasi nijaribu tuoneUtaweza mbio zangu Mzee?!
Hebu nipe nafasi nijaribu tuoneUtaweza mbio zangu Mzee?!
Haya,...njoo ukikimbia kifua wazi...[emoji65]Hebu nipe nafasi nijaribu tuone
Sawa. Nawe uwe without...Haya,...njoo ukikimbia kifua wazi...[emoji65]
[emoji28]Sawa. Nawe uwe without...
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]una nyota ya choo itakuwa
Kwani kunguru ni popo?Ingekuwa unanyewa na ndege ni bahati hao kunguru itakuwa mikosi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Ni ndege ila ninaowasemea wale wadogoKwani kunguru ni popo?
Ukiona hivyo ujue una kimavi..Habari zenu.
Kwa kweli sina imani na mambo yoyote ila hii kitu inanipa utata. Leo ni siku ya tatu ndani ya wiki Kunguru ananinyea nikipita kwenye barabara yenye miti na yenye nyaya juu.
Yaani Kunguru anakuwa juu mtini au katika waya juu, nikipita chini bila kujua kama juu kuna Kunguru nashangaa kaninyea.
Kulikoni?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Utakuwa ni Choo chao hivyo wakikuona mavi yanawabana.
HahahahaUtakuwa ni Choo chao hivyo wakikuona mavi yanawabana.