Mgambilwa ni mntu
JF-Expert Member
- May 30, 2017
- 2,869
- 3,189
Dah!! Watu tunafikiria sana mbali basi tu...wanaashiria unapenda ule mchezo wa choo...
Dah!! Watu tunafikiria sana mbali basi tu...wanaashiria unapenda ule mchezo wa choo...
Kwani ana bifu na nani? Yamkute hayo.Ni dalili za awali kabisa na zilizotukuka kwamba unaweza muda wowote kuanzia sasa mwili wako ukaokotwa katika Fukwe za Bahari ya Hindi kama siyo Mto Ruvu au Gari ya Toyota Landcruiser Nyeupe ikapaki mbele ya usawa wa Kichwa chako huku ' Mafundi Feki ' wakiwa wanafanya ' Matengenezo Feki ' kisha mwishowe watakubeba na Wewe kukuweka ndani ya Gari kama wanavyoziweka ' Spana ' zao.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]utaokota hela we
KAMA UMEWAHI KUWANYANYASA KWA KUWAPIGA WANA KUMBUKUMBU KALI. KILA UTAKAPIPITA WANAKUFAHAMU NA WANAKUFANYIZIA. KUNA ISHARA WANAITANA NA MMOJA ANAKUWA ANAKULNGA UONDOKE. CHUNGUZA HILI HUWA HAMSAHAU MTU AU LABDA KUNA MNYANYASAJI WAO MBAFANANAHabari zenu. Kwa kweli sina imani na mambo yoyote ila hii kitu inanipa utata. Leo ni siku ya tatu ndani ya wiki kunguru ananinyea nikipita kwenye barabara yenye miti na yenye nyaya juu. Yaani kunguru anakuwa juu mtini au ktk waya juu, nikipita chini bila kujua kama juu kuna kunguru nashangaa kaninyea.
Kulikoni?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Hakuna kitu....basi tuHabari zenu.
Kwa kweli sina imani na mambo yoyote ila hii kitu inanipa utata. Leo ni siku ya tatu ndani ya wiki Kunguru ananinyea nikipita kwenye barabara yenye miti na yenye nyaya juu.
Yaani Kunguru anakuwa juu mtini au katika waya juu, nikipita chini bila kujua kama juu kuna Kunguru nashangaa kaninyea.
Kulikoni?
Ana nyota ya kunyewa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]una nyota ya choo itakuwa
[emoji125][emoji125][emoji125][emoji23]Ana nyota ya kunyewa
Nisubiri twende sote[emoji125][emoji125][emoji125][emoji23]
Utaweza mbio zangu Mzee?!Nisubiri twende sote
Amekuwa conditioned na uwepo/upitapo wewe anabanwa vima!...anaachia kitu!Habari zenu.