Kunguru wananinyea nyea, kulikoni?

Kunguru wananinyea nyea, kulikoni?

wanakutahadharisha uspende ile michezo kwa dada zetu🙂🙂🙂🙂
 
Habari zenu.

Kwa kweli sina imani na mambo yoyote ila hii kitu inanipa utata. Leo ni siku ya tatu ndani ya wiki Kunguru ananinyea nikipita kwenye barabara yenye miti na yenye nyaya juu.

Yaani Kunguru anakuwa juu mtini au katika waya juu, nikipita chini bila kujua kama juu kuna Kunguru nashangaa kaninyea.

Kulikoni?
unakaribia kufa wameshakuona mzoga mtarajiwa
 
Una mikosi tena ukichelewa uditulaumu. Inatakiwa ufunge halafu kabla ya kufungua unywe maji ysliyooshea maiti na mengine utawazie.
Kisha uchinje jogoo hslafu ule kichwa tu bila kukinyonyoa
 
Kipi ni kipi sasa? Wenine nina bahati wengine mdio kama wewe!
Nafikiri wananilia tu taimimg sasa.
 
Habari zenu.

Kwa kweli sina imani na mambo yoyote ila hii kitu inanipa utata. Leo ni siku ya tatu ndani ya wiki Kunguru ananinyea nikipita kwenye barabara yenye miti na yenye nyaya juu.

Yaani Kunguru anakuwa juu mtini au katika waya juu, nikipita chini bila kujua kama juu kuna Kunguru nashangaa kaninyea.

Kulikoni?
Sasa utembee na helment bila kusahau koti
 
UMASKINI kitu kibaya sana.
Ungekuwa kwenye Benz lako haya yasingekukuta.Sa cjui umlaumu nani!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom