YEHODAYA
JF-Expert Member
- Aug 9, 2015
- 36,906
- 51,922
Kundi la wabunge 19 wa CHADEMA wana siri nzito mno wakizibwaga CHADEMA inasambaratika.
Hilo kundi lilikuwa ndio injini ya CHADEMA wanaijua ndani nje na wanawajua viongozi wote ndani nje si kisiasa tu bali na kimahusiano ya kibinafsi.
Kamati Kuu iwaombe msamaha kwa kuwadhalilisha mbele ya jamii ndani ya masaa 48 kwa hicho kinachoitwa kikao cha kamati kuu ambacho hata quorum haikutimia kilichotoa tamko koko la kuwafukuza uanachama na uongozi.