Msm.nyakatomlimani
Member
- Jan 24, 2015
- 73
- 24
Tukiwa wadogo tulikuwa na tunasikia habari zakundi mafia na mafioso kwamba lipo nchini Italia ambako ndio makao makuu yake na matawi sehemu nyingi duniani,lkn nimekuwa mkubwa siku hizi sisikii likivuma kama zamani.Tafadhali anaejua historia na madhumuni na oparetions zake atiririke,karibuni