M23 wateka mji wa Shasha, na kuanza kuzingira Goma, busara itumike

MK254

JF-Expert Member
May 11, 2013
31,654
48,432
Itafutwe mbinu ya kisiasa ya kupatanisha wapiganaji kwenye nchi ya DRC, vita vya nchi ile sio vya kawaida, kuna mkanganyiko mkubwa sana na umwagikaji wa damu utaendelea kwa muda mrefu kama pande zote zitaendelea kutunisha misuli.

============

M23 Rebels Seize Strategic Town in Rapid Advance to Goma ocals said after taking control of Shasha on Sunday, M23 went further to capture Kihindo, Kituva, Bukobati and Nyamubingwa settlements.

M23 rebels have captured the strategic town of Shasha following intense fighting with government forces and a coalition of militia groups known as Wazalendo.

Shasha is located in the Masisi territory, about thirty kilometres southwest of the city of Goma, capital of North Kivu. Located on National Road 2, the town links the capitals of the provinces of North and South Kivu.

The capture of Shasha helps M23 rebels block a key route used by government forces to defend Goma.
Startled by the fighting, civilians fled en masse to the town of Minova, located further south on the same road.

By Monday morning, M23 rebels were already controlling Goma-Minova road.

Locals have also fled the town of Sake, where government forces and United Nations troops have deployed heavily to counter the advancing rebels.
 
Mbona tuliskia wanachezea au sio hawa
Nahisi kwamba wakati wanapokea kichapo hawakuzingirwa na vikosi,
Hivyo kupelekea kurudi nyuma( tactical withdraw) mpaka Goma ,lakini pia nahisi kwamba wale 23 waliamua pia kurudi mjini ili kuzuia mashambulizi ya moja kwa moja ya mizinga kwa nia ya kupata kinga ya raia( human shield) maana si raia wote walifanikiwa kukimbia mji,
HIi inamaanisha mapigano yafuatayo yatakua nyumba kwa nyumba na mji kwa mji.
 
View: https://m.youtube.com/watch?v=yWttYwCdJ5k&pp=ygUOTWFtYWRvdSBjb25nbyA%3D

Lucky for you watanzania awajakujuwa na wana support ujinga wako.

Hivi unadhani watanzania wote hawajui shida ya Goma ni weakness ya serikali ya Congo kuwaachia local army kupambana hiyo vita.

Local army yenyewe ya Congo (Goma) imejaa wanyarwanda kila mara jeshi la Congo likipiga hatua wanajeshi ambao wapo loyal na Rwanda wana sabotage gain.

Hata kama. Tanzania tuna raia wengi vilaza ambao hawakuoni for what you are; nonetheless you are just a pathetic foreigner with ill intentions. Lucky for you, with having so many gullible supporters to be entertained with your stupidity.

You can fool people sometimes, but you can’t fool people all the time.

Never mind support ya watanzania wapuuzi wasiokuelewa. Kiasi gani ulivyo mjinga all you do is inciting hatred and division kama ulivyozoea huko kwenu.

Stupid you
 
M23 awawezi ichukua Goma, kilichopo ni jeshi la Congo kwanza linatumia local army recruits mainly kupambana hiyo vita.

Goma ina watutsi wengi ambao wapo loyal to Rwanda na Uganda ambao wamejiunga na jeshi Congo na wanauza mbinu za vita; information ambazo zinarahisha M23 kufanya ambush zao.
 
Nahisi kwamba wakati wanapokea kichapo hawakuzingirwa na vikosi,
Hivyo kupelekea kurudi nyuma( tactical withdraw) mpaka Goma ,lakini pia nahisi kwamba wale 23 waliamua pia kurudi mjini ili kuzuia mashambulizi ya moja kwa moja ya mizinga kwa nia ya kupata kinga ya raia( human shield) maana si raia wote walifanikiwa kukimbia mji,
HIi inamaanisha mapigano yafuatayo yatakua nyumba kwa nyumba na mji kwa mji.

Vita ya mlango kwa mlango ni hatari, hususan hilo la kutumia raia kama human shield. Ndio changamoto ya kule Gaza.
Hii issue ingetafutiwa suluhu la kisiasa kabla haijawa ya hovyo, pale DRC ni mkanganyiko mkubwa sana wa mabwenyenye wanaopigania raslimali, kuna so many competing interests.
 
View: https://m.youtube.com/watch?v=yWttYwCdJ5k&pp=ygUOTWFtYWRvdSBjb25nbyA%3D

Lucky for you watanzania awajakujuwa na wana support ujinga wako.

Hivi unadhani watanzania wote hawajui shida ya Goma ni weakness ya serikali ya Congo kuwaachia local army hiyo vita.

Local army yenyewe ya Congo (Goma) imejaa wanyarwanda kila mara jeshi la Congo likipiga hatua wanajeshi ambao wapo loyal na Rwanda wana sabotage gain.

Hata Tanzania tuna raia wengi vilaza ambao hawakuoni for what you are; just a pathetic foreigner with ill intentions. Lucky for you we have so many gullible supporters to entertainers.

You can fool people sometimes, but you can’t fool people all the time.

Never mind support ya watanzania wapuuzi wasiokuelewa. Kiasi gani ulivyo mjinga all you do is inciting hatred and division kama uliyozoea huko kwenu.

Stupid you

Ukiangalia hiyo documentary kama mfano utaona huyo ‘Karnal Mamadou’ tactically alikuwa anawamudu M23.

Baada ya kuwasumbua sana akaja lipuliwa na wanajeshi wake mwenyewe; shida ni vita ya Goma jeshi inatumia local recruits mainly na wengine ni loyal to Rwanda kushinda Congo katika harakati za ku annex hilo eneo.

Hiyo ni sawa na vita ya Ukraine na Russia katika maeneo ambayo yana split identity crisis.
 
Vita ya mlango kwa mlango ni hatari, hususan hilo la kutumia raia kama human shield. Ndio changamoto ya kule Gaza.
Hii issue ingetafutiwa suluhu la kisiasa kabla haijawa ya hovyo, pale DRC ni mkanganyiko mkubwa sana wa mabwenyenye wanaopigania raslimali, kuna so many competing interests.
Wewe ni mpumbavu una audience yako kule jukwaa la international mambumbu wenzako clueless usidhani watanzania wote ni wajinga wenye uwezo mdogo kama wako.

Hiyo vita ni ngumu kwa sababu ya split loyalties iliyopo Goma. Kule kuna watutsi wengi waliopo kwenye jeshi la Congo ambao wanauza mbinu za vita.
 
Wewe ni mpumbavu una audience yako kule jukwaa la international mambumbu wenzako clueless usidhani watanzania wote ni wajinga wenye uwezo mdogo kama wako.

Hiyo vita ni ngumu kwa sababu ya split loyalties iliyopo Goma; hasa watutsi waliopo kwenye jeshi la Congo wanaouza mbinu za vita.

Sijakuelewa nini povu na matusi.

Tunaongea kuhusu DRC na hili suala la M23, umeiweka vizuri kuhusu hilo la split personalities, ni mojawapo wa changamoto ambayo hakuna aliyekubishia, sasa mbona utokwe povu na matusi.

Watutsi ni watu hatari sana kwenye jamii yoyote, hawana uzalendo popote nje ya Rwanda, hata kama kazaliwa na kukulia Kenya, lazima kiaina atakua anawaza Rwanda.

Shida kubwa ni kwamba mataifa majirani ya Rwanda ikiwemo hata hiyo DRC, Tanzania, Burundi na Uganda kuna Watutsi hadi maeneo nyeti kwenye uongozi.
 
View: https://m.youtube.com/watch?v=yWttYwCdJ5k&pp=ygUOTWFtYWRvdSBjb25nbyA%3D

Lucky for you watanzania awajakujuwa na wana support ujinga wako.

Hivi unadhani watanzania wote hawajui shida ya Goma ni weakness ya serikali ya Congo kuwaachia local army kupambana hiyo vita.

Local army yenyewe ya Congo (Goma) imejaa wanyarwanda kila mara jeshi la Congo likipiga hatua wanajeshi ambao wapo loyal na Rwanda wana sabotage gain.

Hata kama. Tanzania tuna raia wengi vilaza ambao hawakuoni for what you are; nonetheless you are just a pathetic foreigner with ill intentions. Lucky for you, with having so many gullible supporters to be entertained with your stupidity.

You can fool people sometimes, but you can’t fool people all the time.

Never mind support ya watanzania wapuuzi wasiokuelewa. Kiasi gani ulivyo mjinga all you do is inciting hatred and division kama ulivyozoea huko kwenu.

Stupid you

Huyu mpuuzi unamjua vizuri mno mkuu
 
Huyu mpuuzi unamjua vizuri mno mkuu
Ni watu waliofanya nijifunze siasa za Rwanda the likes of jMali na hakina murutongore

Walikuwa wakianza kuparurana JF jukwaa la international sio hili la sasa. Wakipiga english inabidi ukatafute dictionary uelewe wanaamanishi definition yao ya ‘just war theory’ vinginevyo uende google kujifunza.

Hiyo ilikuwa vita ya wasomi miaka hiyo, wasomi wa nchi gani (it’s a different story).

Wote ilikuwa wakiamua kwenda kizungu bila ya kamusi uwapati na wakienda kiswahili utadhani waliandika kamusi.

Don’t be fooled ni watu wale wale, sasa hivi wana ID zingine tu. But very clever old people, sasa hivi wengine tuliojifunza kutoka kwao tumekuwa; they can’t fool us easily just by changing ID’s kama huyu poyoyo asie na nia njema kwa nchi yetu. He is all about spreading hatred and divisions pathetic.
 
Sijakuelewa nini povu na matusi....
Tunaongea kuhusu DRC na hili suala la M23, umeiweka vizuri kuhusu hilo la split personalities, ni mojawapo wa changamoto ambayo hakuna aliyekubishia, sasa mbona utokwe povu na matusi.
Watutsi ni watu hatari sana kwenye jamii yoyote, hawana uzalendo popote nje ya Rwanda, hata kama kazaliwa na kukulia Kenya, lazima kiaina atakua anawaza Rwanda.
Shida kubwa ni kwamba mataifa majirani ya Rwanda ikiwemo hata hiyo DRC, Tanzania, Burundi na Uganda kuna Watutsi hadi maeneo nyeti kwenye uongozi.
At one point in the past you might have been my tutor, with the different ID.

But today you are stupid.

Stop with the acting, my issue with you is your consistent divisive agenda; that is not too much Tanzanian.

Yes we have mental cases, but not calculating that’s what singled you out together with others who I won’t menton here.

Bear this in mind we are not stupid, acknowledging you have your audience. Ain’t no body interested in your pity talk.

Yo JF don’t this serious it was just joke my accusations are baseless

Good Morning 👋
 
Ni watu waliofanya nijifunze siasa za Rwanda the likes of jMali na hakina murutongore

Walikuwa wakianza kuparurana JF jukwaa la international sio hili la sasa. Wakipiga english inabidi ukatafute dictionary wanaamanishi kuhusu ‘just war theory’ inabidi uende google kujifunza.

Hiyo ilikuwa vita ya wasomi miaka,

Wote ilikuwa wakiamua kwenda kizungu bila ya kamusi uwapati na wakienda kiswahili utadhani waliandika kamusi.

Don’t be fooled ni watu wale wale, sasa hivi wana ID zingine tu. But very clever old people, sasa hivi wengine tuliojifunza kutoka kwao tumekuwa; they can’t fool us easily just by changing ID’s kama huyu poyoyo asie na nia njema kwa nchi yetu. He is all about spreading hatred and divisions pathetic.
Mwamba jMali alikua dissapoint na siasa rwanda baada ya magu kuwa rais wa TZ,na akuchukua muda alipotea jukwaani,halafu kuna mjinga m1 alikua anajiita mchambawima nahisi ndio yule genta maana miandiko yao ya kimihemuko inaendana
 
Usiwe kama mtanzania, don’t expose your identity trying to be clever unnecessarily.

Good Morning

👋
 
Miaka hiyo hawa watu ilikuwa wakilumbana umomo unaotemwa humo (bila ya kamusi uwapati) on their political views points, kuwapata ilikuwa shida.

Leo ni watu walewale wamebadili ID’z tu na wanatumia kiswahii. But still very clever people wakienda English wengi tunahitaji dictionary kuwapata, wakiamua French inaonekana wanaweza na kwenye Kiswahili ni fluent kutushinda wengi.

This is 2024 tumeshawaelewa na Tanzania sio Boma, Congo.
 
Back
Top Bottom