Kuna watu wanalia wengine kufurahi lakini ujue Mungu ndie mpangaji wa yote haya

Huu Muungano ni mipango ya mungu. Mungu anauwezo wa kuondoa hii hali.
Na pia elewa kuwa binadamu hapendi kutenda dhambi bali ni jinsi alivyoumbwa ndo humfanya atende.
Huwezi kuniambia usimtamani mwanamke asie mke wako hlf hapo hapo umeweka kitu tamaa ndani mwangu nikiona msambwanda kitu kinasimama. Tunaoneana bure tu
Ndio maana tunaambiwa kwa binadamu kila kitu ni kigumu ila kwa kumuomba Mungu kila kitu ni rahisi
Sema wengi sisi hatuna hata dk 5 za kumshukuru Mungu
 
Kuifata dhambi ni mipango ya mungu pia. According to you!
Kuifuata dhambi sio mpango wa Mungu bali ni makosa yetu sisi kwa kukubali kudanganywa na shetani

Hapa Mungu anakuja kutoa hukumu tu
 
Yaani, Mimi wananichanganya hadi nikagundua tu kuwa vyote viwili ni man made and nothing else.
Mungu yupo na shetani yupo
Mmoja anaimarisha na mwingine ni mmbomoaji

Kazi kwako kuamua nani wa kumfuata

Ila ujue tu Mungu amemuumba pia shetani so ni uamuzi wako yupi umfuate
 
Mungu yupo na shetani yupo
Mmoja anaimarisha na mwingine ni mmbomoaji

Kazi kwako kuamua nani wa kumfuata

Ila ujue tu Mungu amemuumba pia shetani so ni uamuzi wako yupi umfuate


Ndo utueleweshe vizuri tumuelewe

Tunaomba utueleweshe Mimi [HASHTAG]#poise[/HASHTAG] na [HASHTAG]#demi[/HASHTAG] .
Sasa, Mungu alimletaje na kumuumba shetani ili atutese na Mungu huyo ana nguvu!?

Kwa nini tuwe na matatizo ambayo Mungu anaweza kuyasitisha tukaishi bila kuwa nayo!?
 
Tunaomba utueleweshe Mimi [HASHTAG]#poise[/HASHTAG] na [HASHTAG]#demi[/HASHTAG] .
Sasa, Mungu alimletaje na kumuumba shetani ili atutese na Mungu huyo ana nguvu!?

Kwa nini tuwe na matatizo ambayo Mungu anaweza kuyasitisha tukaishi bila kuwa navyo!?
Kashindwa kutetea hoja yake, kakazana ni mipango ya mungu, how? Jibu hana
 
Back
Top Bottom