eden kimario
JF-Expert Member
- Jun 13, 2015
- 10,227
- 16,178
- Thread starter
- #61
Ndio maana tunaambiwa kwa binadamu kila kitu ni kigumu ila kwa kumuomba Mungu kila kitu ni rahisiHuu Muungano ni mipango ya mungu. Mungu anauwezo wa kuondoa hii hali.
Na pia elewa kuwa binadamu hapendi kutenda dhambi bali ni jinsi alivyoumbwa ndo humfanya atende.
Huwezi kuniambia usimtamani mwanamke asie mke wako hlf hapo hapo umeweka kitu tamaa ndani mwangu nikiona msambwanda kitu kinasimama. Tunaoneana bure tu
Sema wengi sisi hatuna hata dk 5 za kumshukuru Mungu