Trainee
JF-Expert Member
- Sep 22, 2018
- 3,020
- 4,027
Nakusudia maandamano yale yenye lengo la kupinga zoezi la uchaguzi
Kama ni hoja watu wametoa hoja zao sana na kama ni elimu watu wametoa elimu ya kutosha juu ya jambo hilo.
Sasa tufanye tathmini ndogo hapa kila mtu aoneshe upande wake anaochagua kwamba anaunga mkono au haungi mkono maandamano hayo