Kuna watu ni makatili kupitiliza.

Kuna watu ni makatili kupitiliza.

Ndibalema

JF-Expert Member
Joined
Apr 26, 2008
Posts
10,955
Reaction score
4,664
jamaa huyo hapo juu kakamatwa nchini nigeria akitafuta mtu wa kununua kipande cha mwili wa binadamu, huu ni unyama wa kutisha sana.
 

Attachments

  • katili.jpg
    katili.jpg
    16.4 KB · Views: 315
Dunia imeisha. Aliuokota au aliua yeye kwani du!!!
 
Dunia imeisha. Aliuokota au aliua yeye kwani du!!!
Aliuwa na hapo alikuwa kashauza nusu ya mwili yaani kutoka kiunoni kuja chini ndo ikawa imebaki sehemu ya juu akadakwa.
 
The whole of Oke-Opo area in Ilesha Osun State was thrown into panic when human butchered and parts seller was apprehended by the Police after tip off by the residents of the area.
The man in the picture below was in the act while dis-membering an unknown man.
This is so disheartening, Horrible, heartless, callous, name it! all because of money?

1806_532424010141220_1731177315_n.jpg


SOSI
 
Hakuna biashara icyokuwa na wateja.....kama yy amekamatwa basi na wateja wote wakamatwe...
 
Swali la kujiuliza, nani walikuwa wateja wa hiyo bidhaa?
 
Utakuta hayo mabaki ni Mbongo aliyejipeleka kwa maNIGERIA kujishobokea kwao na kuwafuata eti ndiyo mashabiki wazuri
kuwaiga mikakati yao " WaTz. jichungeni sana na hao wa WEST Africa zaidi NGR. hawana udugu hao !!
 
Hii ni zaidi ya laana! Binadamu tunafanya vitu hata shetani mwenyewe anayetushawishi inafika hatua huwa anashangaa!
 
hahaahahahahahahahahahahahahahahahahahah aisee watu wabunifu sana .usiniulize kwanini nimecheka
 
Aliuwa na hapo alikuwa kashauza nusu ya mwili yaani kutoka kiunoni kuja chini ndo ikawa imebaki sehemu ya juu akadakwa.

Kwa mtaji huu, imebaki tu binadamu nasi kuhamia porini. Yaani wapo ambao walishapatikana wakanunua nusu?
 
[h=1]1. Ghanaians ban 'spirit child' killing[/h]
_67303081_67303080.jpg
These children were accused of being possessed by evil spirits
Continue reading the main story [h=2]Related Stories[/h]

Local leaders in northern Ghana have announced the abolition of the ritual killing of babies born with physical disabilities, who were believed to have been possessed by evil spirits.
"Spirit children" were thought to have been a sign of impending misfortune and given a poisonous drink to kill them.
One campaigner told the BBC that improved healthcare and education meant such beliefs were becoming less common.
Activist Raymond Ayine welcomed the ban, which covers seven towns.
But he said he could not guarantee that the practice had been eradicated from the whole country.
The BBC's Vera Kwakofi says the Kasena-Nankana region, where the ban has been announced, is the part of Ghana where such beliefs are most widespread.
Sometimes, babies born at the same time as a family misfortune were also accused of being "spirit children" and killed.
The "concoction men" who used to give the children the poisonous drink have been given new roles; they will now work with disabled children to promote their rights.
'Barbaric practice'
2.
Satellite images reveal that 2,275 homes were destroyed during a military raid to hunt down militant Islamists in the northern Nigerian town of Baga last month, a rights group has said.
 
Back
Top Bottom