Kuna watu kwenye system wanatumia nguvu sana kumchafua Rais Samia, Mtafeli Samia ni chaguo la Mungu

Genge la mwendazake wamepoteana! Plan yao ya kutengeneza chattle empire imebuma mapema sana na kibaya zaidi mama amewashtukia
 
Kuna watu baada ya Rais na Amiri jeshi mkuu Mh SSH kuanza uteuzi wa viongozi mbalimbali kuna watu roho zimewauma sana na wanatumia watu sana ili wamchafue Rais wetu kipenzi,

Kuna watu hawakutaka awe pale sasa watu wanajifanya kumkosoa sana na kundi linaloongoza ni lile kundi la mataga waliokua wanamuabudu mwendazake,

ni hivi SSH ndiye Rais na Amiri jeahi mkuu hamna cha kumfanya wala cha kubadili, genge la Mwendazake linajifanya linamuongoza mama aongoze nchi kama mwenda zake,

huyo mwenda zake alikuja tu kuvuruga hii nchi na hana ushujaa wwte ule,
sasa hivi kuna mataga wapya wamejazwa mitandaoni kwaajili ya kumchafua SSH

Mtakwama tu washenzi nyie,

Na ameshahakikishiwa ulinzi na papaa mukulu Generali CDF Mabeyo mkajinyonge sasa

Rais wetu ni Samia na tulichelewa sana kumpata mtu mwenye maono kama huyu, Mungu ambariki sana

Ambaye hapendi ahamie nchi nyingine au ajiue

over Roja
Mungu wa kokoyo.
Yaani Mungu aache kazi zake nyingi aje awachagulie wabongo .
Kwanza kwa nini hataki kutufungulia VPN
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom