Aiseee umeongea vema sana ila wenyewe wanadai eti wakituambia ukweli ulioko mioyoni mwao tuatawakataa ndio maana wanaamua kutudanganya loh ukatili ulioje
bado nakomaa alafu ukishakaa kwenye mstari na kumwaga utamu
Ain't an excuse hiyo Khantwe.. Unajua kabisa ukiongopa unaanza kutengeneza bomu.. Miuongo yooote iliojaa hapa duniani hajaiona ndo aje na uongo wa kuoa..? Hapana na dhambi kubwa kucheza na feelings za mwenzio.. my motto's always usimtendee mwenzio usichotaka kutendewa wewe..
mm skutaki bhana unapenda hela kama ulizaliwa na hela....
Ila usjar utakuwa spea taili
sitaki kuwa spea wewe
aisee unanichanganya kama mapishi ya mama ntilie!
kama si werevu wangu nisingekutambua kabisaa!
Mpwa nilikuwa ninawaza humo humo kwenye reli hiyo..
Ila it takes 2 to tangle.. kama mwanamke ni king'ang'anizi then mwanaume amekaribisha huo mng'ang'anizo.. Kama ulimuingia kwa gia ya kumuoa unategemea ukikinai tu akuache..? Hujui na yeye alianza kuwekeza mara baada ya kuaminishwa kwamba kuna future hapo..! Just for one minute u shld stop thinkin abt urslf & think abt her.. her expections ambazo wewe ulimjaza.. Uongo uliokuwa unampa abt how much u love her.. kwamba u r ready to die for her.. Baada ya kulisaza tunda ndo uje na ngonjera zako za kutopokea cmu ili ajikate kisailensa..! Thubuuutu na kwa taarifa yako wanawake kama hao ndo wanaitwa stalkers kule majuu.. Na mwisho huwa wanakuja na maamuzi magumu.. kwamba kama yeye hawezi kuwa na wewe basi hakuna mwingine yeyote atakaekuwa na wewe.. Anakudedisha tu na mie ninasema unastahili kudedishwa nae huyo lol..

In red: Hiyo huwa siitamki hovyo hovyo, huwa ni last resort kama strategies zangu zote zimeshindwa ndio huwa nailaunch kama weapon of mass destruction iwapo tu itaguarantee ushindi kwangu au binti anaonyesha bila kuipiga hiyo haingiliki. btw huyo binti sijawahi kumwambia hivyo.
its hurt kuachwa na umpendae jamani na inauma sana so its better tuwe wa kweli kuliko kuumizana
Na mimi nakuweka pending tu, maisha mafupi haya ya nini kutesana?
Afadhali anae kung'ang'ania anakutaka..kuna mwingine anang'ang'aniza Ugomvi na wewe...unamkwepa wapi...lazima akutafute kwa shari...
sana anaichukulia poa sana ila inaumiza sanaSana shansarie unakuwa hujui umekosea wap nin shida, kakumbwa na nini
Ni bora mtu kuwa mstaarabu kama mlianza kistaarabu kwanini msimalizane kistaarabu? ni rahisi sana kuliko mtoa mada anavyojitapa hana kawaida ya kuwaambia lakini inatesa sana hii.