sosoliso
Platinum Member
- May 6, 2009
- 8,543
- 9,478
Aiseee umeongea vema sana ila wenyewe wanadai eti wakituambia ukweli ulioko mioyoni mwao tuatawakataa ndio maana wanaamua kutudanganya loh ukatili ulioje
Ain't an excuse hiyo Khantwe.. Unajua kabisa ukiongopa unaanza kutengeneza bomu.. Miuongo yooote iliojaa hapa duniani hajaiona ndo aje na uongo wa kuoa..? Hapana na dhambi kubwa kucheza na feelings za mwenzio.. my motto's always usimtendee mwenzio usichotaka kutendewa wewe..
Last edited by a moderator: